Mwanamke anae kuomba hela huyo yupo kimaslahi kwako tu, mwanamke akikupenda moyoni mwake hawezi kuomba hela. Kwasababu huwa na haya flani ya kuomba usije muona si wa maana kwako.
Kuna mwanamke alimuomba mpenzi wake hela kumbe ile hela alikuwa anakwenda nunulia vyombo vya ndani. Kuna mwanaume mwengine alikuwa kishatoa posa, huyu alotoa hela(mpenzi) alipigwa block baada ya mwanamke kuolewa.