Kuwa mwaminifu ndio njia pekeeHabari za leo wakuu! Naimani kila mmoja wetu anaendelea vizuri na shughuli za kulijenga taifa letu pendwa.
Jamani kuna watu imekuwa kama asili yao kufuatilia kila kitu kinachoendelea kwenye simu ya mwenza wake kuanzia calls, texts n.k. Hivi ni nini njia ya kumbadilisha mtu kama huyu ili angalau apunguze hii tabia.
Ni dalili kwamba hakuamini, chunguza nyendo zako uone ni wapi panapomtia shaka kisha badilika wewe kwanza. Mjengee uaminifu, hakuna mbadala wa hapo.Habari za leo wakuu! Naimani kila mmoja wetu anaendelea vizuri na shughuli za kulijenga taifa letu pendwa.
Jamani kuna watu imekuwa kama asili yao kufuatilia kila kitu kinachoendelea kwenye simu ya mwenza wake kuanzia calls, texts n.k. Hivi ni nini njia ya kumbadilisha mtu kama huyu ili angalau apunguze hii tabia.
hahahahahhaahaaaaa......you made my day......hakika hakuna mwanamke asiyefanya haya....hata akijiapiza vipi....atagusa tuuu.....hahahahahaaAisee me nimejaribu kuacha hako katabia lakini nimefail kabisa.
Huwa nawashwa tu baba naniliu akitoka akaacha simu kuna kasauti kananiambia hebu shika simu uangalie sms [emoji23][emoji23]
Kwani unamficha nini?Habari za leo wakuu! Naimani kila mmoja wetu anaendelea vizuri na shughuli za kulijenga taifa letu pendwa.
Jamani kuna watu imekuwa kama asili yao kufuatilia kila kitu kinachoendelea kwenye simu ya mwenza wake kuanzia calls, texts n.k. Hivi ni nini njia ya kumbadilisha mtu kama huyu ili angalau apunguze hii tabia.
Umeona ehee [emoji23][emoji23][emoji23]hahahahahhaahaaaaa......you made my day......hakika hakuna mwanamke asiyefanya haya....hata akijiapiza vipi....atagusa tuuu.....hahahahahaa
Habari za leo wakuu! Naimani kila mmoja wetu anaendelea vizuri na shughuli za kulijenga taifa letu pendwa.
Jamani kuna watu imekuwa kama asili yao kufuatilia kila kitu kinachoendelea kwenye simu ya mwenza wake kuanzia calls, texts n.k. Hivi ni nini njia ya kumbadilisha mtu kama huyu ili angalau apunguze hii tabia.
Akikikuta anachokitafta ataacha
unajivunia kutokuwa mwamunifu.?
kuna kakitu sijui nini kinawawasha hakika.......niliweka kamera kwa siri nikamrekodi jinsi alivyokuwa anahangaika kudukua fasta fasta,,, hahahahahaha,,, wala hakukuwa na kitu basi hofu tuuu....Umeona ehee [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]kuna kakitu sijui nini kinawawasha hakika.......niliweka kamera kwa siri nikamrekodi jinsi alivyokuwa anahangaika kudukua fasta fasta,,, hahahahahaha,,, wala hakukuwa na kitu basi hofu tuuu....
yani katika vitu ambavyo sifanyi ni kupekua sim ya mume wangu sithubutu wallahi na sijawahiNinaamini una uzoefu mbaya ktk hili
Kama hueleweki lazma mtu atake kukuchunguza..ww kua free na cm yako uone kama atahangaika nayo..umalaya sio mzuri jamani..mm siwez..kipindi nipo chuo mda wa paper ukifika afu man angu bado yupoyupo around nlikua nampa tuu akae nayo masaa 2 au zaid thow yeye alikua kitombi yakwake ilikua na paswed na hakupi uguse. Kwa kuficha kwake cm ake nkajua tuu ni kitombi.Habari za leo wakuu! Naimani kila mmoja wetu anaendelea vizuri na shughuli za kulijenga taifa letu pendwa.
Jamani kuna watu imekuwa kama asili yao kufuatilia kila kitu kinachoendelea kwenye simu ya mwenza wake kuanzia calls, texts n.k. Hivi ni nini njia ya kumbadilisha mtu kama huyu ili angalau apunguze hii tabia.
Katabia ka mama nanii kabisa hako, kabla hajalala lazma apekue kisemeo changu.Aisee me nimejaribu kuacha hako katabia lakini nimefail kabisa.
Huwa nawashwa tu baba naniliu akitoka akaacha simu kuna kasauti kananiambia hebu shika simu uangalie sms [emoji23][emoji23]
Yani mtu ukiona anakuwa mkali na simu yake tu ujue kuna analoficha na mie ndo ntafukunyua ki I.T hadi nione uchafu wako hata ukifuta logs, ntaziona tu.Kama hueleweki lazma mtu atake kukuchunguza..ww kua free na cm yako uone kama atahangaika nayo..umalaya sio mzuri jamani..mm siwez..kipindi nipo chuo mda wa paper ukifika afu man angu bado yupoyupo around nlikua nampa tuu akae nayo masaa 2 au zaid thow yeye alikua kitombi yakwake ilikua na paswed na hakupi uguse. Kwa kuficha kwake cm ake nkajua tuu ni kitombi.
🤣🤣🤣🤣🤣 eti eehMimi ukiona sina habari na simu yako maana yake sina habari na wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio maana yake[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti eeh