Tabia ya baadhi ya wadada wa benki

Tabia ya baadhi ya wadada wa benki

Asa unategemea kwa mshahara wa laki 5 hapa mjini maisha yatakuaje?lazima nao watafute mabuzi ya kuyachuna.
 
hivi pale kaunta bank teller anaweza kuchungulia kwenye kompyuta yake na kujua mteja ana shilingi ngapi kwenye akaunti yake?

haswaa ndio maana unaenda kaunta kuomba balance na anayekupa ni mhudumu wa kauta/benka.
 
Haya ndiyo matatizo ya kuwajaza wanawake ktk shughuli muhimu kama hizi, Nitanaza campaign za kuwashawishi benki ziajiri wanaume sehemu za tller

Hawa kina mama wana risk biashara za benki pia kuhatarisha maisha ya mteja dhidi ya tindi kali

Kunahaja ya kuanzisha chama cha wanaume kutetea haki zao vyinginevyo mambo ya ki-Bitch bitch yatazidi kushamiri

mmmh mtazamao wako huo before bankers walikuwa wanaume ila wakawa si waaminifu wanakwiba mihela ya benki na ndo hapo wadada walipoanza kuajiriwa na benki. Hizo ni tabia za mtu binafsi awe mschana/mvulana cha kufanya mtu akiajiriwa anatakiwa kupewa mafunzo na adabu za benki hapo problem inakuwa solved na sio kubadili jinsia kwenye kuajiri.
 
Umesahau ..tena huwaga wanadharau sana na kutoa majib mabovu na ya mkato kwa wateja..
 
Ni kweli mkuu hasa wakikuona una salio la kutosha utayaona yanaanza kujipendekeza ghafla utaona anakupigia Cm na kujieleza upuuz wake!imenitokea mimi mwenyewe kama 2 weeks ago.mle kuna mikahaba mingi sana,yanajichubua na yanavaa nguo mipaja nje.
 
Hawa banktellers ndio wanatoa taarifa kwa wazee wa kazi{majambazi na mapolisi},pia wanajipendekeza sana kwa wanaume wenye milions of Tsh kwenye acc.
 
inasemekana tellers wanapata mishahara ya kawaida.

mabenk teller wengi mishahara yao haizidi laki 4, so wanaishi kiujanja ujanja tuu, na mizinga kibao! na asilimia kubwa hwajaenda shule wengi wao ni form six au form four!!
 
Back
Top Bottom