Tabia sugu za wanaume wa Afrika

Hayo unayoyasema kuwa ni matatizo ya wanaume wa kiafrika hata wazungu pia wanayo, ila tofauti wazungu wanaofanya hayo wanayafanya either kwa usiri mkubwa au mke anafahamu kabisa lakini anajua akipewa talaka hata status yake itabadilika anaamua kukomaa. Mengi yanatokea kwa aristocracy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…