Tabia Nane za watu wapole

Usipoteze mda mwingi kubishana na mwanaume mwenzio ili kujua wanawake wanachofikiria
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Wanawafaidi wanawake???
 
Huyo alikuwa tapeli tu kama matapeli wengine hakufanya hivyo kwa sababu ya upole
 
Sasa kama mimi ambaye sina tabia ya kuongea ongea, hayo maneno mengi ya kuyaandika nyuma ya keyboard nitayatoa wapi ?
Wewe huwezi kulijua hilo ....hasira za kutoongea mda mwingi anazimalizia kwenye keyboard[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125]
 
Huyo rafiki yako alikuwa mkimya ama mvivu kuongea na sio mpole kwani wengi huwachukulia wakimya kama wapole
 
Ukimuumiza hasemi anaweza kukuchekea tu, anakulia timing siku ukiingia kwenye 18 zake utahisi umemfananisha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Unaeza hisi unaota
 

Dah wewe jamaa utakuwa unanijua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…