DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,912
Sasa kama mimi ambaye sina tabia ya kuongea ongea, hayo maneno mengi ya kuyaandika nyuma ya keyboard nitayatoa wapi ?Halafu watu wapole/ wakimya nyuma ya keyboard wana maandishi mengi kama nini!
Fanya mpango tuonane.Una bahati sikujui...mi ningekundua tu mkuu
Si kweliumesahau moja watu wapole ni wazinifu sanaa
Sana mkuu...wanapenda chini hao balaa halafu jinsia zote sasa!Wengine ni wanafiki na wazinzi wa kupitiliza
Umemaliza mkuuDangerous people in the world,are those who SEE,OBSERVE AND KEEP SILENCE..
Mchana mwema
Hakika bossUmemaliza mkuu
Hao ni wauaji kwani hawajui kusameheHakika boss
Ninawaogopa sana hao watuWatu wa pole ni silent killers! Ogopa sana mtu mpole.
Mtu mmoja (huyo rafiki yako ni mtu sio watu) huwezi mtumia kutoa hukumuHAKUNA WATU WABAYA NA KUWAOGOPA KATIKA DUNIA HII KAMA WATU WAPOLE AISEEE.
HAWA WATU SIKU AKIJA KUKUBADILIKIA NDIO UTAMJUA NI MTU WA AINA GANI YAANI HAWA NI WATU WASHENZI SANA AISEEEE.
MIMI NILIKUWA NINA RAFIKI YANGU MPOLE SANA LAKINI MWISHO WA SIKU ALIKUJA KUNITAPELI HELA YANGU NA AKANIBADILIKIA KAMA SIO YEYE VILEEEE
Mpole in Dr ShenEdward Lowassa
Reginald Mengi
Nimrod Mkono
Prof. Mark Mwandosya
Bakhresa
Dr. Malasusa
Dr. Shein
Upole, Busara na Hekima zao hao Wazee sio wa kuigiza.
Mimi sijijui kwa kweli sijui mpole,mkimya au mapepe nipo nipo tu[emoji56] [emoji56] [emoji56]Tunaenda sambamba sasa...mkimya anakusnitch bila wewe kujua ndo napowachukia sasa!
Mpole anachukia ila anajifanya yuko okay
Ila mcheshi/ muongeaji ukimuudhi analipuka hapo hapo na life goes on, so far hawezi kukuficha kitu yaani ni hawakaagi na kitu rohoni ni wanakerekaga fulani hivi which is good!
Umeona huo utofauti wako wa watu watatu sasa? So mimi nimeamua kuachagua fungu la tatu, coz ninawafahamu mnoo
Na sababu ni kwamba amevumilia sasa sana sana na kwa muda mrefu mpaka ukasahau kila kitu.Kweli, ila umesahau moja. Akiishiwa uvumilivu ni mbaya kuliko simba na si wepesi kusamehe.
[emoji386] [emoji387]Ila usimchokoze over
Neno kali sana ili mkuuHao ni wauaji kwani hawajui kusamehe
Huo ndio ukweli, wakimya wengi ndio watekelezaji mauaji, wachawi nkNeno kali sana ili mkuu
Utapendaje uku we ni mwanaumeMi binafsi sipendi mume /rafiki au mtu yeyote anayehusika na Mimi awe mpole!
Ni aina ya binadamu wanafiki mnoo na anaweza hata kukupoteza ktk huu uso wa dunia na usiamini
Mi napenda watu mapepe/ micharuko maana ni rahisi kumgundua nyanja zote