VERY EASY...charty.. kwani wanapongoka, nyie wa nje mnajuaje? vioo vinaachwa wazi?
wanangonokea kwenye foleni? au wanasababisha foleni? kama hapo, wapigwe mijeledi....
ila kama mtu kapaki gari hukooo then kafunga vioo tinted, kapata chake cha fasta, kwanza unajuaje kama kuna mtu anagegedwa ndani?
hebu tuwe wadadisi kwanza...
Yallah...!Mungu wangu more than 500 styles !!hii lazima iingie kwenye Guiness book of record
kwanza kwenye gari unakaa staili gani manake, mmh
Kidonda...!
Hujajibu swali... Party lini???
suala si mie kubadilika, ila ni wewe na wenzio mjaribu hii kitu. walah hamtaacha.
VERY EASY...
Nikijitoa ufahamu labda itawezekana.
kwanza kwenye gari unakaa staili gani manake, mmh
.hahahahaaa... Nimependa ulivyolinganisha, lol
..basi na wewe jaribu cha kwenye gari
hahahaaa!! Hiyo bado haipruv bana!! Bado kabisa!
Kwa hiyo kimahakama ama kisheria, utaelezaje?
hapana [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=team]#team B[/URL] maana yake team baba.......... hembu njoo PM nikuelekeze vizuri cc@Mndengereko Mr Rocky etc
Kuna wanaume wana haka kamchezo kwa kufanyia ngono kwenye magari yao , hawa ni wachepukaji lakini ni ushenzi mtupu kufanyia hicho kitendo ndani ya gari yako !unaitia nuksi si vizuri mbona zipo gesti kibao tu ? za mpaka buku tano ?
Unakunjwa Kama tairi dadangu, lol
mbuzi kagoma kwenda
Kuna wanaume wana haka kamchezo kwa kufanyia ngono kwenye magari yao , hawa ni wachepukaji lakini ni ushenzi mtupu kufanyia hicho kitendo ndani ya gari yako !unaitia nuksi si vizuri mbona zipo gesti kibao tu ? za mpaka buku tano ?
Na wewe mwanamke mchepushwaji unakubalije kuchanuliwa miguu kwenye siti ya gari unajidhalilisha mno.