Tabia mbaya sana hii

Mtoto wake ana miaka miwili sasa!!!
Wanasema ati kwenye gari kuna kautam flani hivi, sijui ni ile mikunjo wanayokunjana..

Hongera zake. Inawezekana ikawa ina kautam kweli, manake hata kusinzia ni kutam kuliko kulala kitandani, tena usiombe usinzie kwenye daladala huku umekaa siti za mwisho, unaweza ukapitishwa kituo.
 
kwanza kwenye gari unakaa staili gani manake, mmh
 
mkuu unajua kuna watu bongo hii hawana kazi kabisa...!

watu wana macho ya aje aisee...! hizo ni hisia za aina gani mpaka unajua gari ikitikisika tu, basi kuna mtu ananjunjwa ndani? loh!

basi liwekwe kwenye katiba mpya na hili! lolz!

Hahahahaaaa liwemo kwenye katiba tena loh...! Mayb u r rite !!!
 
Hahahahaaaa liwemo kwenye katiba tena loh...! Mayb u r rite !!!

hii nchi bana, watu wake wengi tu wameshaharibika kutokana na umasikini!

hapa jijini tu (DSM) naamini vijana wengi sana ni ajiraless kabisa! fanya utafiti huo utaona!

likitokea jambo dogo tu, watu ghafla tu wanajaa na kusongamana, jiulize walikuwa wapi? je walikuwa hawana la kufanya?

mpaka kufikia kuchungulia gari tinted na ukajua kuna watu wanadinyana, ujue mtu njaa inamsumbua..!!
 
Lakini gari si ni la kwake? We kinakuuma nini?
 
Mkuu ukijaribu kula mzigo kwenye gari hutaacha.
Kuna style zaidi ya 500 zinapatikana ndani ya gari, full raha duniani.
 
Unajua mtu akijichagulia life style yake usiumize kichwa saana. Tena kwenye gari...Ambalo sio la Public aaah achana nae. Utu ni wake akiuchafua ni yeye .
 
Mkuu ukijaribu kula mzigo kwenye gari hutaacha.
Kuna style zaidi ya 500 zinapatikana ndani ya gari, full raha duniani.

Sasa kama uyu mwenye expirience ya kutosha utambadilishaje?
 
Mkuu ukijaribu kula mzigo kwenye gari hutaacha.
Kuna style zaidi ya 500 zinapatikana ndani ya gari, full raha duniani.
Yallah...!Mungu wangu more than 500 styles !!hii lazima iingie kwenye Guiness book of record
 
Hongera zake. Inawezekana ikawa ina kautam kweli, manake hata kusinzia ni kutam kuliko kulala kitandani, tena usiombe usinzie kwenye daladala huku umekaa siti za mwisho, unaweza ukapitishwa kituo.

.hahahahaaa... Nimependa ulivyolinganisha, lol
..basi na wewe jaribu cha kwenye gari
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…