Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,628
kuna watu wa ajabu sana. Kazi yao kukaa karibu na wale wanaouza vocha za tigo rusha wananyatia msichana akija akitaja namba wanakariri faster then wanasave later unashangaa namba mpya inakutext au a call. Kama kweli unajiamini kwanini usiombe moja kwa moja kwa mhusika? Utakariri namba ngapi sasa?