Tabia hizi zinanikera!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tabia hizi zinanikera!!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tabutupu, Dec 19, 2010.

 1. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #1
  Dec 19, 2010
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,650
  Likes Received: 4,412
  Trophy Points: 280
  TABIA MBAYA NDANI YA NDOA
  Kukerwa na tabia fulani ni kitu cha kawaida katika maisha ya kila mtu. Yapo mambo ambayo yanamkera mtu binfsi kama yeye na mengine hutukera sote.
  Mambo yafutayo ni kweli yananikera.
  1. Chumba cha mke na mume kuwa chumba cha kuingia kila mtu. House girl, watoto etc..
  2. Kumtukamna mke mbele ya watoto tena sometimes unatawatuka wote ( changanya).
  3. Kumwadhibu mwenzio mkeo au mkeo kwa kununa, kukata msosi (tabia mbaya sana hii).
  4. Kumwadhibu mwenzio kwa kunyima ile kitu (mnajua).
  5. Kumfananiisha mke na watoto ( mfano ,wajinga kama mama yenu??).
  6. Kutoboa siri za ndoa saluni (wanawake).
  7. Kuliza habari za ujana za mkeo au mumeo wakati mumesha oana (upuuzi).

  Mimi ni haya wewe ni yapi??
   
 2. Supa.engineer

  Supa.engineer Member

  #2
  Dec 19, 2010
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sio wewe tu, utafikiri umeona moyo wangu. ila iyo nyekundu afadhali nikae gerezani kuliko kuishi na mtu mwenye hahako katabia.
   
 3. Nipigie

  Nipigie Senior Member

  #3
  Dec 19, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  i kweli tupu uliyo sema, na yamenigusa japo sihusiki. Mara nyingi tumeshindwa kuwaheshimu wenza wetu, hata kutofautisha ,mambo ya ndani na ya nje. utakuta unabwatukiwa mbele za watoto, hata watoto wamekuwa wanajua kuwa kati ya mama na baba nani mkorofi.

  Ila hizo mbili zinanitia kichefuchefu ninapo ona mwenzangu anaziabudu. tabia mbaya kabisa
   
 4. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #4
  Dec 19, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  There are truths which are not for all men, nor for all times.
   
 5. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #5
  Dec 19, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  duh ndugu yangu naona uchanganyikiwa sasa
  kaa vunja ukimya
   
 6. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #6
  Dec 19, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Unaficha nini chumbani?
   
 7. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #7
  Dec 19, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,017
  Trophy Points: 280
  hata mimi nashangaa!kuna tanzanite au mabomu?kwahiyo hata siku Mama anaumwa na Baba hayupo utafia ndani coz ni chumba cha wawili tu!?

  Kuhusu kususia msosi, mwanamke sio mtu wa kumwamini hata kidogo. Kama mna ugomvi wa kindoa anaweza hata kukuwekea sumu kunako menu. Kwahiyo ni vizuri kususia menu mpaka mtakapotatua tatizo lenu.

  Ila siungi mkono kuadhibiana kwa kunyimana katunda kaleee kenye tabu ya jasho!
   
 8. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #8
  Dec 20, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hayaaaaa leo mlioa na kuolewa humu leo kaziiii,,,,,lol!!!!!!!!!!!!!!!
   
 9. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #9
  Dec 20, 2010
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,650
  Likes Received: 4,412
  Trophy Points: 280
  Sio kwamba nimepiga marufuku, kuwe na utaratibu na nidhamu iwepo. Utakuta mtu anamtuma House help (HG) kachukue nini??. Mtu awe na sababu ya msingi kuingia , Huoni ikulu tusivyo ijua hata kama ni wa tz.??
   
 10. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #10
  Dec 20, 2010
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,650
  Likes Received: 4,412
  Trophy Points: 280
  Kibweka , sijambo. habari za siku nyingi.
   
 11. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #11
  Dec 20, 2010
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,650
  Likes Received: 4,412
  Trophy Points: 280
  Ile ni ikulu, hadi ualikwe ndo unaweza tinga ndani. Ninacho zungumzia hapa ni utaratibu , Chumba cha heshima sana kile.
   
 12. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #12
  Dec 20, 2010
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,650
  Likes Received: 4,412
  Trophy Points: 280
  Hujambo Nilham Rashed!!!, Karibu sana.
   
 13. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #13
  Dec 20, 2010
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,793
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  hapo no 4 ndiyo hutumika sana!matokeo yake mume anatafuta alternative nje
   
 14. Mamushka

  Mamushka JF-Expert Member

  #14
  Dec 21, 2010
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 1,609
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mh mwanaume anaevuta mdomo na kususa chakula mh huyo hafai hata kwenda nae sehem, kwa ndugu, ukweni, hata kwa marafiki, atakuaibisha auvutee asuse na chakula mbona utajuta. Au anaeenda bar kulalamika kwa kila mtu kuhusu mkewe.Tabia hiyo sio nzuri kabisaa.
   
 15. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #15
  Dec 21, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Muache hizi tabia baba hapendi kabisa
   
 16. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #16
  Dec 21, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Mi sizipendi hizo tabia kabisa. lakini sidhani kama naweza kuwachukia wenye nazo.........coz hakuna aliye perfect
  At least, thats how I see it.
   
 17. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #17
  Dec 21, 2010
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mwanaume anayesimulia mapungufu ya mkewe kwa rafiki zake mfano she is hopeless kabisa loh ni mwili wako mshaungana hivyo hata kama ana mapungufu ndo ishakuwa hivo msalaba wako huo...badirikeni wanaume..
   
 18. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #18
  Dec 21, 2010
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,586
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Hivi kumbe na hili lenye red huwa lipo? Mhh hii kiboko

  lakini kwa upande mwingine haya mambo lazima yawepo dunia haiko ideal kama unavyodhani. kuna vitu vingine lazima viwepo tu haviepukiki kaka..!!!
   
 19. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #19
  Dec 21, 2010
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,586
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Kaaaa, kumbe kuna wanaume wanao susia menyu. Nadhani wanaume kuna vipu vitatu ambavyo huwa hawasusi
  1. Pesa/Cash?mshiko
  2. K/kuchakachua ( Na hili wanawake wengi huwa wanapenda kulitumia kama silaha wanapokuwa wamewaudhi wanaume zao.
  3. Menyu/msosi/food
   
 20. Digna37

  Digna37 JF-Expert Member

  #20
  Dec 21, 2010
  Joined: May 17, 2010
  Messages: 835
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  Kurudi usiku wa manane, alfajiri, hatimae kuhama nyumbani, kisha kurudi tena na kujifanya yote hayo ni kawaida tuu na unyumba uendelee bila hata kupima virusi.
   
Loading...