Tabia hii ya mke wangu inaashiria nini?

Tabia hii ya mke wangu inaashiria nini?

Mkuu mkulima.

Niwe tu muwazi, nimempenda sana mke wako.

Upendo wake kwako ni wa dhati sana.

Badilisha style ya ku handle makosa yake, kususa ni tabia ya kitoto sana. And once akiichoka aka strike back, hakuna rangi utaacha kuiona hapo
 
Inaashiria wewe una tabia za kununanuna na kususasusa kama mdada
 
"it not about knowing ur enemy,its about knowing urself"acha utoto wa kususu una2angusha MABAHARIA..,ukiendelea tutakufuta uanachama#obheja
 
ukisusa na ukagundua uliyemsusia anapata tabu hapo unajiona bonge la mjanja, ila umeandika comedy nzuri sana.
 
Mimi ni kijana ambaye niko kwenye ndoa naelekea mwaka wa pili sasa. Kama kawaida kwenye ndoa kuna milima na mabonde ya kupitia, na pia kwenye ndoa kuna Raha na karaha. Ila kwa Mke wangu kila anaponikwaza adhabu ambayo inamtesa nikimpa ni kususia chakula,na kumtenga kitandani yaani adhabu hizi huwa zinampa sana Tabu adhabu hii.

Alishawahi kuniambia kwamba hata kama unakasirika ila kula chakula changu halafu endelea kununa, kuna siku aliniudhi usiku nikamtenga kitanda nilichukua mkeka nikatandika sebuleni, kuja kusituka usiku wa manane namuona pembeni yangu kalala ikabidi nimuamshe tukalale kitandani.

Sasa leo ameniuzi tokea asubuhi sijala na yeye pia tokea asubuhi mpaka jioni ya leo hajakula kitu na ananyonyesha. Je tabia hii ya mke wangu inaashiria nini?
Tabia ya mkeo au yako?

Sent from my LM-Q710(FGN) using JamiiForums mobile app
 
Mnaangaliga muvi za kikorea???
 
Huo ni utoto tena utoto wa hali ya juu kususa vitu
Hivi vijitabia vya mume wangu kabisa tukikosana anasusa miezi miwili anahama chumba ukimuandalia nguo anajiandalia za kwako zile ulizomuandalia hazivai sijui makorokoro gani yaan chengachenga tu sasa huo ni ujinga tena wa hali ya juu
 
U
Asee mkuu, wife hatengwi wala kupewa silent treatment hizo. Mwanaume kuwa na kifua kikubwa na usikubali zinaisha siku mbili tatu una makwaruzano na wife afu umemnunia nunia, hiyo ni big NO kwa wanaume.

Wew ndo kichwa cha familia, muongoze mnayamaliza unampiga make-up sex safi then mnalala roho safi kma mmeoana jana sio kumtenga. Mana hapo yeye anaonekana ana busara zaidi despite kuzinguana bado anakuweka karibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
U are a real gentleman mr congratulation on that i wish my man could be passing over this forum and see what u have written
 
Kuna siku hatojali kama umekula au umesusa, na ikifikia hapo hutaweza mrudisha awe kama mwanzo
Majuto mjukuu
 
Hizi tabia za kususa ni tabia za kitoto Sana ndugu yangu kama unaweza mwanamke wako akiuuzi mbembeleze akupe uchi alafu mtie mpaka ajutie makosa atakuheshimu
Ajue kutia basi...uskute kibamia
 
Kuna siku hatojali kama umekula au umesusa, na ikifikia hapo hutaweza mrudisha awe kama mwanzo
Majuto mjukuu
Mwambie huyo maana anajiona kamkomoa mkewe kumbe anajipalia makaa ya mawe
Unachosema ni kweli kabisa wa kwangu hata sihangaiki nae kabisa eti kasusa nianze kujitesa sijui kala au hajala sijui kavaa nguo safi au chafu yaani sijitesi kabisa tabia zake za kususa zishanichosha
 
Niliwahi ambiwa hata ukigombana vipi na mkeo ni mwiko kususa chakula. Vilevile kutotimizi mahitani ya familia.
Acha upopoma.
Kuna siku mkewangu aliniudhi. Nilimkata kibao kizito. Akaanza kulia. Nikamvua nguo nikainguza mashine nikampa na ulimi. Akatoa ushirikiano kama wote. Nilipomaliza akanambia nimwongezee
 
ishini na wanawake kwa akili..uwe unasamehe mkuu na uvumilie madhaif yke!.
Maaigizo unayompa ni kama mtihan kwake hivyo hawez kupata %100..Ridhika na pale uwezo wake ulipoishia na ustake afanye uyatakayo kwa %100.
Kwa kufanya hivyo mambo yataenda kwa uwezo wa Mungu!!
 
Back
Top Bottom