Abramovic
JF-Expert Member
- Sep 6, 2013
- 324
- 610
Ushauri juu ya ndoa zetu huwa hatuombi humu JF mkuu, anyway utapata unachokitafuta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
yani nimecheka watoto bwana ha ha ha ha eti vinanuniana vina miaka miwili
Chai hizi kama sio chai bas unaakili za kitotoMimi ni kijana ambaye niko kwenye ndoa naelekea mwaka wa pili sasa. Kama kawaida kwenye ndoa kuna milima na mabonde ya kupitia, na pia kwenye ndoa kuna Raha na karaha. Ila kwa Mke wangu kila anaponikwaza adhabu ambayo inamtesa nikimpa ni kususia chakula,na kumtenga kitandani yaani adhabu hizi huwa zinampa sana Tabu adhabu hii. Alishawahi kuniambia kwamba hata kama unakasirika ila kula chakula changu halafu endelea kununa, kuna siku aliniudhi usiku nikamtenga kitanda nilichukua mkeka nikatandika sebuleni, kuja kusituka usiku wa manane namuona pembeni yangu kalala ikabidi nimuamshe tukalale kitandani. Sasa leo ameniuzi tokea asubuhi sijala na yeye pia tokea asubuhi mpaka jioni ya leo hajakula kitu na ananyonyesha. Je tabia hii ya mke wangu inaashiria nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umetoa ushauri mzuri, shida ipo kwenye huu mcharazo wako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baba uandishi huu daaah!!Dah nimecheka sana broo kwanini ulikimbilia kuowa unaisi utamuowa mkamilifu raha ya kukosea ni kuelezana ukweli na kumkanya kumbuka makosa mkiwa mnaishi pamoja hayaishi kwaiyo kukanyana, kukumbushana, na kusamehana ndyo njiya ya kuzidi kutete ndoa yenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Atauwa mama na mtoto we mshauri vibaya tu.... Mtu amesema mke ananyonyesha na hajala chakula kisa mume kasusa unategemea nini kitazaliwa hapoKwakifupi hayo ndio mahaba. Raha ya ndoa ndio vitu kama hivyo mnafanyiana utoto huku mnajaliana......
Kama hapo umesusa, umelala sebuleni, amekufuata mkaamshana mkaja kulala hadi asubuhi.
Mradi tu usipige mtoto wa watu wala usimfyatukie au kuwa mkali. Fanya mbwembwe za namna hiyo huku na yeye akikubembeleza na wewe akikununia unambembeleza pia.... Hayo ndio mahaba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemshauri kitu cha msingi sana, wanaume walioenda jando hawana huu upuuzi
Mimi ni kijana ambaye niko kwenye ndoa naelekea mwaka wa pili sasa. Kama kawaida kwenye ndoa kuna milima na mabonde ya kupitia, na pia kwenye ndoa kuna Raha na karaha. Ila kwa Mke wangu kila anaponikwaza adhabu ambayo inamtesa nikimpa ni kususia chakula,na kumtenga kitandani yaani adhabu hizi huwa zinampa sana Tabu adhabu hii. Alishawahi kuniambia kwamba hata kama unakasirika ila kula chakula changu halafu endelea kununa, kuna siku aliniudhi usiku nikamtenga kitanda nilichukua mkeka nikatandika sebuleni, kuja kusituka usiku wa manane namuona pembeni yangu kalala ikabidi nimuamshe tukalale kitandani. Sasa leo ameniuzi tokea asubuhi sijala na yeye pia tokea asubuhi mpaka jioni ya leo hajakula kitu na ananyonyesha. Je tabia hii ya mke wangu inaashiria nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh mchagulie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ana jinsia mbili unataka Ipi!?
Sent using Jamii Forums mobile app