Tabia hii ya madaktari

Tabia hii ya madaktari

spleen

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2013
Posts
4,436
Reaction score
7,647
Hivi kwa nini hawa watu(sio wote) wanapenda sana wanawake na pombe,hii kitu inatokana na nini, binafsi nipo medical school namshukuru mungu kwenye alcohol lakini kwenye hao viumbe huniambii kitu, hata nikicheki jamaa walio kazini na wa madarasa ya mbele ni noma,inatokana na nini hii kitu wadau? msaada wa mawazo kuhusu sababu na jinsi ya kujiepusha au kuacha binafsi sijawa addicted kivilee!!!!
 
Medical school? Which university? Upo mwaka wa ngapi?
Jibu halafu nitakushauri.
 
pole sana,wengine wanalazimisha kuchungulia nanihii wakati ugonjwa uliokupeleka hosp hauhusiani na nanihiiii.......ni kubadilisha mfumo ktk ubongo wako na kumtanguliza Mungu ktk mienendo yako hakika hofu ya Mungu itakuokoa
 
Hivi kwa nini hawa watu(sio wote) wanapenda sana wanawake na pombe,hii kitu inatokana na nini, binafsi nipo medical school namshukuru mungu kwenye alcohol lakini kwenye hao viumbe huniambii kitu, hata nikicheki jamaa walio kazini na wa madarasa ya mbele ni noma,inatokana na nini hii kitu wadau? msaada wa mawazo kuhusu sababu na jinsi ya kujiepusha au kuacha binafsi sijawa addicted kivilee!!!!

dogo soma shule, huo uzinzi ni wa kwako usisingizie na wengine kujustify madudu unayoyafanya. kuna watu wengi wanatoka medical schoo wakiwa TANO BILA.(5-0) ni wachache sana na wewe ukiwa mmoja wao mnaoendekeza uhayawani. wengine wanakuwa na watu wao wanaoleweka we unadhani wanachovyachovya kumbe wana mipango yao.
 
Kumezuka tabia baina ya Watanzania ya mtu kuona upumbavu nalo ni jambo la kujisifia kiasi aliseme kwa madaha mbele za watu.

Sidhani kama kuna ushauri wa maana wa kupewa na binadamu. Mimi ni mtaalam wa mifumo ya mawasiliano, device yeyote ikileta shida huwa narefer technical manual ambayo hutolewa na manufacturer. Sasa na wewe yupo aliyekuumba kwa hiyo ni bora umuulize yeye ufanyaje ili uache UPUMBAVU
 
pole sana,wengine wanalazimisha kuchungulia nanihii wakati ugonjwa uliokupeleka hosp hauhusiani na nanihiiii.......ni kubadilisha mfumo ktk ubongo wako na kumtanguliza Mungu ktk mienendo yako hakika hofu ya Mungu itakuokoa

ukiona daktari anakimbilia kuchungulia k yako fuatilia vizuri level yake ya elimu. wapo wachache ambao ni wapuuzi naturally huwezi kuwakwepa.a good doctor will not rush to inspeck your k kama huna tatizo linaloendana na huko. na k zenu zilivyo mbaya!
 
tabia ya wachache isiwe sababu ya kuhukumu kundi zima. utafiti wako nadhani umetegemea sampuli ndogo sana. tabia ya mtu haitokani na kazi yake bali upumbavu wake au werevu wake.
 
Pande za kairuki hapa mwaka wa tatu
Jibu lina patikana kwenye 12 principles of medical ethics in Tanzania. Natafuta Soft copy nikiipata nitakurushia kwenye PM. Au muobe mwalimu wako wa Medical ethics hicho kitabu ukisome utapata majibu.
 
Sasa wewe ambaye uko hivyo ndio unauliza badala ya kuulizwa?!!!
nimeona bora niwaulize na wadau wengine manake hapa campus utawasikia wanasema eti wanaondoa stress,ingawa hiyo point ina ukweli ndani yake manake nikitokaga kwa manzi nikiingia pindi naelewa kinoma
 
ukiona daktari anakimbilia kuchungulia k yako fuatilia vizuri level yake ya elimu. wapo wachache ambao ni wapuuzi naturally huwezi kuwakwepa.a good doctor will not rush to inspeck your k kama huna tatizo linaloendana na huko. na k zenu zilivyo mbaya!

hapo kwenye bold unakubali rohoni kwamba ni nzuri........................🙂
 
dogo soma shule, huo uzinzi ni wa kwako usisingizie na wengine kujustify madudu unayoyafanya. kuna watu wengi wanatoka medical schoo wakiwa TANO BILA.(5-0) ni wachache sana na wewe ukiwa mmoja wao mnaoendekeza uhayawani. wengine wanakuwa na watu wao wanaoleweka we unadhani wanachovyachovya kumbe wana mipango yao.
ushauari wako mkuu unahitajika na sio kuniponda,hata hivyo hii tabia si ya wote ni ya wengi,mi mwenyewe naichukia!!!!
 
Kumezuka tabia baina ya Watanzania ya mtu kuona upumbavu nalo ni jambo la kujisifia kiasi aliseme kwa madaha mbele za watu.

Sidhani kama kuna ushauri wa maana wa kupewa na binadamu. Mimi ni mtaalam wa mifumo ya mawasiliano, device yeyote ikileta shida huwa narefer technical manual ambayo hutolewa na manufacturer. Sasa na wewe yupo aliyekuumba kwa hiyo ni bora umuulize yeye ufanyaje ili uache UPUMBAVU
Ahsante mkuu kama kila upumbavu uliowahi kuufanya tangu uzaliwe huwa unamuuliza muumba kuuacha,hata hivyo haujatoa ushauri wowote zaidi ya kujinadi eti wewe ni mtaalam wa mawasiliano
 
au unafanya practical?
ki-ukweli sikuwa na tabia hiyo ila tulipokuwa mwaka wa kwanza kuna lecturer mmoja alitufundisha jinsi ya kumjua bikra,anayehitaji kugegedwa(hot period) na aliyetoa mimba kwa kumuangalia nikajikuta naitumia hiyo nafasi tabia ambayo imenicost licha ya kujitahidi kupiga zoezi la kufa mtu kama wadau wengi wanavyoshauri humu
 
Back
Top Bottom