mutant gene
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 876
- 326
- Thread starter
- #21
Nadhani kwanza umekosea kuingia kuchunguza mgeni anaishije ndani kwako. Sijui na wengine wanafanya hivyo, ila kwetu tulikuwa tukikatazwa kuingia chumba cha mgeni, hadi aondoke.
Naona sio ajabu kwa mgeni wa kike kufanya hivyo, lakini PIA inategemea na wapi choo kilipo. Kwa wadada wengi, na usalama wa jiji la dar sio rahisikutoka nje kama choo si cha ndani
mkuu choo hakipo mbali kabisa labda ni tabia aliyezoea huko kwao.