tabia hii mmeitoa wapi?

mutant gene

JF-Expert Member
May 18, 2014
876
322
habari zenu wakuu,

Kama tunavyofahamu kipindi hiki wadogo zenu wanaangaika sana na hizi post za tcu hasa wale ambao hawajabahatika mpaka sasa hivi.

kuna huyu binti(mdogo wa rafiki yangu) amefikia hapa home kwangu baada ya kutokuwa na ndugu wa karibu wa kufikia kwa hapa dar.

leo baada ya binti kutoka nikaamua kupiga chabo chumbani alipofikia. nimestuka sana maana nimekutana na chupa za soda nne zikiwa zimejaa mikojo. kuna maswali nimejiuliza sikupata majibu! huu wote unatokana na uwoga wa kutoka nje usiku, ugeni au kuna mambo mengine ? au ni jambo la kawaida wakuu?

wakuu, siwezi kumuuliza kabisa naogopa kama unavyojua wasichana wa siku hizi anaweza kuniongopea lolote kwa kaka yake(rafiki yangu). mana anaweza kunisingizia nimemtaka kimapenzi au nilitaka kumbaka kabisa( yalishawahi kunitokea baada ya kuongea ukweli).

wakuu hili ni jambo la kawaida kweli? tena kwa binti mrembo?
 
Kosa lako kubwa ni kuwa; hutaki kusema kaukweli tu. Kwanza umezamia chumba cha mgeni, Ili iwe nini?? Pili tayari ushasema kuna kipindi ulishawahi kuzuliwa skandali ka hilo? Ulizuliwa au ulipeleka maombi yakabuma? Tatu, kama kweli ulimpokea kama dadako, iweje uanze kumgredi ati Mrembo? Dadako umwone mrembo kweli?? Huku umeshanusa kojooo lake. Ptuuuu. Nimekuzarauje! Acha kumezea vya ndani, nenda nje wamejaa tele usitumie uhitaji wa mtu kumla
 
inawezekana ni jambo ambalo uwa analifanya sana uko nyumbani kwao........mana mtoto uleavyo ndivyo akuavyo.....
 
mkuu hujawahi kuona wazazi wanaita binti zao warembo? unashangaa dada tena usiyezaliwa nae!
 
inawezekana ni jambo ambalo uwa analifanya sana uko nyumbani kwao........mana mtoto uleavyo ndivyo akuavyo.....

inawezekana mkuu, hii inanipa picha kuwa kina dada wengi ni tofauti sana na tunavyowaona huku nje. wengi wao ni wachafu sana
 
Nadhani kwanza umekosea kuingia kuchunguza mgeni anaishije ndani kwako. Sijui na wengine wanafanya hivyo, ila kwetu tulikuwa tukikatazwa kuingia chumba cha mgeni, hadi aondoke.

Naona sio ajabu kwa mgeni wa kike kufanya hivyo, lakini PIA inategemea na wapi choo kilipo. Kwa wadada wengi, na usalama wa jiji la dar sio rahisikutoka nje kama choo si cha ndani
 
mkuu hujawahi kuona wazazi wanaita binti zao warembo? unashangaa dada tena usiyezaliwa nae!

Mkuu soma uzi wake jamaa. Hili ni dowezi siku tele, kaleta uzi hapa ili tu ahalalishe matokeo. Usiku ule hakulala kila saa ni kitanda kukuruka mpaka mgeni kaogopa kutoka nje. Chupa nne za soda tena binti kalengeshea kwenye tundu dogoooo. Yaani huyo binti sidhani ka alirudi tena hapo. Alidhani jamaa ana uchu wa fisi na angempata angemzima kabisa
 
ipo siku utambaka huyo binti, halafu chupa za coka anakojoaje? anaiingiza ndani au? mimi nimezoea kuona wengi wakikata madumu nusu. ila ni uchafu aisee.
 
job true true, mtoto wa kike kujaza chupa ya koka, labda itakua anakojoa kwenye bakuli af ndo anamimina kwenye chupa....
ebu subir uone mwisho wa siku atazipeleka wapi...!
 
Back
Top Bottom