Tabia Hii MH! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tabia Hii MH!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by PetCash, Oct 30, 2012.

 1. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Tulikuwa tumekaa sehemu na rafiki zangu baada ya lunch ambayo ilitanguliwa na kazi nzito toka asubuhi. Basi tuliona ni vyema kupumzika kidogo kabla ya kurudi kazini.
  Basi watu wakanzisha stori hizi na zile.
  Mara mmoja wetu akaropoka jinsi akichoka inavyokuwa shida ucku wakati kalala na wife...akigusia kwamba wife anamdai(if u know what it means) kama alimkopesha vile...
  Basi tukacheka yakaisha.

  Sasa kuna siku mimi, mke wangu na jamaa na mke wake tulikuwa harusini pamoja....Sasa kila nikimuangalia mkewe na kupata picha ya jinsi anavyomdai jamaa, najikuta nacheka mwenyewe mpaka wenzngu wananishangaa!

  Jamani wanandoa wenzangu, Its very unfair for you to announce to others about your sex life....
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  ok sawa....hatutaadisia tena..........
   
 3. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,123
  Trophy Points: 280
  Its kind of cool kumwagia mpenzio sifa katika kutamba wa nani zaidi!!!!!!!!!!!!! Ila sifa zikizidi inabidi uchukue tahadhari ohoooooooooo! Hawakawii kukufanyia substitution na kujimilikisha wao!!!!!!! We si umetuita haya tumekuja jumlaaaaaaa! Mi for INSURANCE PURPOSES NATANGAZAGA KWA MASHOSTI HAKUNA MWANAUME BAHILI KAMA MCHAGA YULEEE!!!!!!!!! NASISITIZA HATA YA LOSHENI SIPEWI!!!!!! Basi wanashtukaje na kutoka baruuuuuuu. Kweli bahili hapati mke! lol! Taratibuuuuuuuu najilia vyangu bila ushindani!!!!!! Najua hata akiwataka yeye watamtoa baruuuuuuu! Bahili amtake nani?!!!!! Mjini mipango!!!!!!!!
   
 4. Mahmetkid

  Mahmetkid JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 557
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Exactly, sio heshima kabisa kuzungumzia masuala ya unyumba kwenye makundi ya marafiki yenu.
   
 5. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  hivi shosti lazima mwanaume akupe hela? kama hana?
   
 6. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  sijawai au sijui kama wanaume huwa wanasimuliana kuhusu wake au wapenzi wao
  but wanawake ndo zetu kwa kweli sijui huwa tunawashwa nini,yaani huko fb kuna magroup kibao ya wanawake .story nyingi ni za waume zao...ooh mume wangu jamani akikukiss??????? oooh mume wangu kanipa laki ya saluni??? mume wangu hapendi kulala chini???????? puuu blah blah kibao
  yaani ndivo tulivo hapa hata mimi natamani kuwasimulia ni vile tu yupo humu
  kama kuna mwanamke hahjawai kusimulia sifa flani flani za mume/mpenzi wake kwa mashost zake aseme hapa...hakunaga!
   
 7. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #7
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Wakati mlipokutana kwenye hiyo harusi kisha ukawa unamwangalia huyo mke wa jamaa yako, Nadhani picha iliyokwenda kwenye kichwa chako, ni jinsi mwanamke huyo anavyokuwa mkali pale anapodai haki yake na huenda uliwaza jinsi kwenye miti mingi kusivyo na wajenzi..........
  Hebu fikiria kama mwanamke huyo angekuwa ameolewa na Mzee mwenzangu ODM Asprin ..................LOL
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  Bora muambiane ukweli....

  huo ni ugonjwa wenu wa kitaifa......
   
 9. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Hukuwa unacheka bali ulikuwa unatamani ukammalizie shida zake maana hazipati ipasavyo.
   
 10. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #10
  Oct 30, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,123
  Trophy Points: 280
  Kama hana huyo lazima awe mbali na mimi MITA 700 JUU YA UKANDA WA BAHARI!!!!! Khaaaaaaaa! Sijaja mjini kufanya kazi ya kupaka rangi majogooo!!!!! Mtaji wa masikini ni nguvu zake menyewe!!!!!! Ohooooo!
   
 11. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #11
  Oct 30, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  ihihiiii aisee!pesa zipo tu LARA1 hata wewe mwenyewe unaweza kuzitafuta bwana...mimi moyo wangu haujui kumpendea mtu pesa ingawaje napenda sana mizinga but kama hana as long nampenda na yeye anipende kiukweli lakini mi hapo poa tu!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #12
  Oct 30, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,123
  Trophy Points: 280
  Hongera sana smile!!!!!!!!! Mi mtu akiwa hanipi mbesa nahisi kama NATUMIKA BUREEEE hivi! Nahisi kuna mtu anampendaaa ndo anampa pesa alafu mimi ananichukulia design flani KAZI YA NJE/PART TIME!!!!!!!! Yaani nakuwa na mashaka mazito juu yake!!!!!!!!!! Sijui kwa nini? Tatizo watu hawaaminiki.
   
 13. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #13
  Oct 30, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  kumbe sipendwi eeeh...sasa utafanyeje akupe?
   
 14. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #14
  Oct 30, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  YAH! Kwa kweli inabidi muache kabisa...
  Sijui utajisikiaje unapokaa na mumeo akiwa na mashemeji zako unajua kwamba wanakujua jinsi ulivyo 'intimately' kwa kweli heshima ya ushemeji inashuka!
   
 15. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #15
  Oct 30, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  I think we all know pesa huja na kuondoka...
  If you keep your heart in money then it is prone to be broken from time to time.
   
 16. V

  Von Mo JF-Expert Member

  #16
  Oct 30, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 1,830
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Ingekua mtu kila anapozini anatoa episode wengine mngekua episode ya 2000 kwa mwaka huu.
   
 17. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #17
  Oct 30, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  nani kasema?
  Mie ndo naita mashosti hapa niwaadithie
   
 18. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #18
  Oct 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  weee.....shauri yako......utasutwa na PetCash.......mi simo....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...