Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,818
- 168,026
Moto Unawaka Mtwara. Nimesoma Mtwara...ukiwatazama kirahisi watu wake unaweza kudhani mafala...niliposikia nao wameanza maandamano ya kudai haki zao nikajua sasa shughuli imeanza. hakuna watu wabishi kama watu wa Mtwara....Machalii wa Arusha wanasubiri, Wanyakyusa wanasubiri.....watawala kazi wanayo hapo..tabia ya majibu mepesi kwa maswali magumu usiwapelekee hao jamaa!