Tabia gani usiyoipenda sebuleni?

Inasikitisha sana...
Ila mimi nipo cool soon, mgeni/wageni wanapokuja kwangu... Sinaga muda wa kuangalia anafanya nini au atafanya nini...

So nakuaga poa...
Hata mahondaw ananijua vizuri nilivyo...


Cc: mahondaw
 
Mi sipendi(mwenyeji) nije kwako alafu unakuwa unalazimisha niongeze chakula...unakuta mtu anasema mgeni mbona kidogo hivo jamani ongeza bhaassii wakati mwingine anadiliki hata kukuongezea [HASHTAG]#sipendi[/HASHTAG]
 
Mi sipendi tabia ya kipande kikubwa mamamwenye nyumba kukiwekeka chini a lafu juu unaweka vipapatio alafu tukicharuacharu unanuna si uweke juu vipande vikubwa vote hahahaha
 
Mgeni umemkaribisha ndan anaingia, ata kabla hajaketi kwny kochi mimacho kodoooo kuangalia vilivyomo ndani..... Wananiboaga sana wageni wa aina io asee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wageni wengine wanatema miguu akivua viatu yaani mpaka kero.... bora hata waingiage na viatu
Mgeni wa namna hiyo usipate tabu,, Mpe maji asafishe miguu yake, Viatu vyake weka Juani, kama linaangaza vema,
 
Uwiiiiiiiiiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huo ulaji wa kutia kijiugali kijidogo kwenye hotpot halaf walaji wengi siupendi min huo ni uchoyo [emoji30][emoji30][emoji30]
 
Kuwa remote controller
Unakaribishwa sehemu, mwenyeji wako anakuacha sebuleni na Tv yenye Tamthilia za wale Jamaa au Bongo Movie, yeye yupo busy kukuandalia ulichofuata au lah, Chakula huko jikoni, Utakuta nimezima Tv mkuu!! [emoji69] [emoji69]
 
Mgeni au jirani kuingia sebuleni kupiga stori Mara mwanae kuibuka gafla alafu kachafu vumbi au matope alafu mamake kuanza kumnyanyua na kumweka kwenye kochi lenye vitambaa vyeupe!! Nawapenda watoto ila hapa wananikeraga!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha kuna rafik yangu mpaka nimempa jina tununuuu.. hawezi subiri chai ipoe anapambana nayo na kutoa milio ya ajabu huku shape ya mdomo ikibaki inachekesha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]miss chaga umetumwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji69] [emoji69] [emoji69]
Oooh, Pole sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…