Mimi naangalia TBC chanel 143 kupitia DSTV na hamna saa matangazo yamekatika. Labda tatizo litkuwa la antena yako au king'amuz chako
Suala ni mfumo kandamizi wa hawa watu wa uhasama wa taifa,wao ndio wanaratibu matangazo yote haya wako kila sehemu hapo dodoma kazi yao ndio hiyo wakimuamuru lolote msimamizi wa matangazo basi hana ubishi nalo.halafu kuna kitu kingine cha kujiuliza kwamba inakuwaje ITV hawajihusishi kabisa na matangazo haya? Na je hatuna wazalendo wengine nchini wasionufaika na hi mifumo mibovu nchini ili wawekeze kwenye hii tasnia ya Haabari ili wananchi tupatew haki yetu ya msingi?leo muda wa saa 5 kasoro 10,chanel ya TBC1,wamekata matangazo maksudi ili tusione hotuba ya mh.zitto kabwe na hili jambo linatokea mara kwa mara.mnaonaje kuhusu hili?ni nani anahusika kukata matangazo ya bungeni?na hii sio mara ya kwanza ,hata juzi kati siku anaapishwa Joshua nassari walizuia sauti ili tusisikie alivyokuwa akishangiliwa.jamani wanaJF,tufanyeje kuhusu hili?hii TBC si ya kodi zetu?
leo muda wa saa 5 kasoro 10,chanel ya TBC1,wamekata matangazo maksudi ili tusione hotuba ya mh.zitto kabwe na hili jambo linatokea mara kwa mara.mnaonaje kuhusu hili?ni nani anahusika kukata matangazo ya bungeni?na hii sio mara ya kwanza ,hata juzi kati siku anaapishwa Joshua nassari walizuia sauti ili tusisikie alivyokuwa akishangiliwa.jamani wanaJF,tufanyeje kuhusu hili?hii TBC si ya kodi zetu?
Thanx mkuu na wewe kwa kuliona hili.Nadhani kwa wale wanaotumia antenna peke yake bila ya king'amuzi ndo wamepata tatizo hilo.. Kwa wanaotumia ving'amuzi wanaendelea kuona vizuri kabisa..
Mimi naangalia TBC chanel 143 kupitia DSTV na hamna saa matangazo yamekatika. Labda tatizo litkuwa la antena yako au king'amuz chako