Tabia au vitendo gani vinakuchukiza?

Tabia au vitendo gani vinakuchukiza?

Mwanaume mjuaji!!! Kila unaloongea au unalofanya anakuona huna akili na anakukosoa.
mwenye dharau na nyodo... Yaani anakuja kwangu anakuta nimepika ugali na maharage anaanza kujishaua kusema mimi sipendi ugali maharage... Nakula ugali na nyama choma tu au samaki wa kukaanga!!! Nyooo!!! Nitoe hela yangu na mda wangu kukupikia alafu unakuja kuniambia huli chakula hucho... Sio kwamba una aleji, eti hutaki tu!!! Aisee mwanaume anifanyie hizo nyodo kama yeye ndo anatoa hela ya chakula. Ila kadri tunavyokua pamoja nikiona kuna chakula unakifurahia sana kuliko kingine basi ntaongeza jitihada kumpikia anachopenda... Sio kuleta minyodo yake ya kipuuzi [emoji51][emoji51][emoji51]

Punguza hasira basi jamanii,..sa ivi ntakua natii,..wew tu ndo uko sahihi
 
Mtu anae nuna nuna kila muda, kukasirika kwa kitu kidogo na kuto niheshimu yani kuongea maneno ya dharau mbele yangu[emoji46][emoji46] hapo siku mbili unapigwa chini.......
Hili tatizo linaonekana ni la kitaifa kwa wanawake wengi hapa nchini maana thread nyingi wanaume wanalalamika juu ya swala la kununanuna hovyo bila sababu...,
 
Mwanaume mjuaji!!! Kila unaloongea au unalofanya anakuona huna akili na anakukosoa.
mwenye dharau na nyodo... Yaani anakuja kwangu anakuta nimepika ugali na maharage anaanza kujishaua kusema mimi sipendi ugali maharage... Nakula ugali na nyama choma tu au samaki wa kukaanga!!! Nyooo!!! Nitoe hela yangu na mda wangu kukupikia alafu unakuja kuniambia huli chakula hucho... Sio kwamba una aleji, eti hutaki tu!!! Aisee mwanaume anifanyie hizo nyodo kama yeye ndo anatoa hela ya chakula. Ila kadri tunavyokua pamoja nikiona kuna chakula unakifurahia sana kuliko kingine basi ntaongeza jitihada kumpikia anachopenda... Sio kuleta minyodo yake ya kipuuzi [emoji51][emoji51][emoji51]
doooh! pole kwa yaliyo kusibu
 
Sipendi mwanaume anayeuliza 'uko wapi' kila mara ilhali anajua nilipo
 
Sipendi mwanaume malaya asiye naheshima mbele yangu,
Sharobaro asiye fikiria mbele au kesho
Mwanaume aliyebweteka apite mbali na mimi
Meenye maneno mengi sanaa apite iv
Mlevi, sigara hell no n.k
 
Uchafu (nashukuru hili sijawahi kukutana nalo)

ukimya kwenye mawasiliano

kujidai kila kitu chake kizuri

dhalau.

Careless

Spend mwanaume ambae hana siri yaan anaweza kusema siri adharani badala ya kuniita chumbani.

Ni mengi kwa leo yanatosha.
 
Ngoja niwe msimaji tu hapa...
Leo nimeishiwa maneno
 
Sipendi mwana mke anayejamba bila break....utafikili kakatika centre bolt ya marinda.
 
sipendi mwanamke mwembambaaa halaf avae suruali za kubana... yaan ukitembea nae kama unasindikizwa na chelewa ya ufagio..!!!
 
Back
Top Bottom