Free ideas
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 3,508
- 2,060
na hizi tabia umetengeneza wewe au au umechukua kutoka katika tafiti fulani?
hao uliowataja ni asilimia ngapi ya wanawake wapi?
Sijamlenga mtu yeyote.tabia hizi ulizozitaja ni bias na wewe kutaja sababu hizi utakuwa unalenga mtu fulani.
Ndo mana nikasema wengine waongezee zinginena katika tabia zote wanawake walizonazo wewe umeona hizi tu. ]
Hakuna kilichonikutapole kwa yaliyokukuta.
Hizi Tabia 7 za Mwanamke zinazoshangaza, nawe ongezea uzijuazo.
1.Mwanamke siku zote hufikiria apate(kuolewa) na Mwanaume mwenye pesa na mwonekano mzuri japo yeye ni kituko na hana chochote zaidi ya begi na sim.
2.Ukimtongoza(au kumwomba urafiki),anakuuliza unafanya kazi gani wakati yeye hana kazi na anaishi kwao ama kwa dada yake mwaka wa sita huu.
3.Anapenda aolewe na mtu mwenye kazi nzuri,pesa,elimu ,nyumba ama wadhifa flani wakati yeye alifeli na yupo kwao hana dira.
4.Mkikutana mara ya kwanza kama mlikuwa hamfahamiani,anatarajia akukute smart,umetupia vitu kama suti,jeans na t-shirt ya ghalama,umenyoa vizur,unanukia manukato ya bei wakati yeye amekuja na gauni la PAJAMA,la tsh.2500 pale k/koo na amesuka mabutu,amepaka mafuta ya mgando(mamiz ama juakali.)
5.Mkiwa baa mkiagiza anakodoa macho aone unatoa sh.ngapi kulipa na kama unazitoa pesa kwenye wallet(pocket money,pochi) ama moja kwa moja kwenye surual.Wakati huo yeye zake amefunga fundo kwenye kitenge au ameshikilia au amedumbukiza kifuani zimenasa mwenye sindiria.
6.Akiona uko Smart,unapesa ama unakazi nzur kuliko jamaa aliyenae, ukimuuliza kama ana mtu atajibu yuko Single.
7.Ukiongea nae kwenye sim kabla hamjaonana,utasikia maneno kama,nacheki movie,naangalia tamthilia niko na mom na dad,Nimetoka out na mafrend zangu,niko saluni,.Kimbembe kinakuja mnapoonana unakuta hafanani na saluni wal tamthilia.Kaz inakuwa kukuonesha kwao,.Ukifanikiwa kupajua utashangaa kukuta hata hakuna kigoda.
Hao ndo wanawake bana ,ila big up wanawake mnatulea miezi tisa!Respect !.

[/QUOTE]Sijamlenga mtu yeyote.
Ndo mana nikasema wengine waongezee zingine
Hakuna kilichonikuta
Tabia hizo wanazo wanawake,ukiona mwanaume anakuiliza hivo jua ni domo zege anazuga huku anatafuta maneno ya maana akwambie.halafu kama tabia hizi zinakushangaza basi mbona hushangai na nyiniy siku hizi mkitongoza na kuanza kumuuliza mwanamke " eti unasoma una kazi au unajishughulisha na nini? swali hili linatofauti gani na tabia uliyoiweka na 2 wote wanadhamira ya kimaslai.
siku hizi wanadamu wamekaa kimaslai si wanawake si wanaume.
na hapo namba 5. wewe unamatatizo ya akili yani unatumia hasira zako kuandika vitu visivyofanana na uhalisia yani mwanamke utoke nae akiwa amevaa tenge kaweka hela katika fundo na wewe akutegemee uwe umevaa suti tena unaweka hela katika wallet. labda useme baa hiyo iliyokuwa fikirani kwako wakati unaandika ilikuwa ni ipi je ya sinza masaki manzese tabata au mbagala? au the kilimanjaro hotel?
sikiliza waswahili husema ndege warukao pamoja hufanana kwa namna moja au nyingine.
mwanamke anayekunywa pombe za kienyeji mara nyingi hutoka na wenzake wafananano hadhi .
vitu ulivyoandika vinaweza kuwapo ila si kwa namna uliyoeleza. hutemeana sana na aina ya mwanake na mahali ulipompata na makuzi malezi mazoea n.k
ila nikuhabarishe kuwa hata wanaumwe siku hizi wana vijitabia vifanannavyo na hivyo.
ukishaishi sana duniani utatamani kubadili ulichoandika na kukiweka namna nyingine.
wanawake wa kutegemea mwanaume aje na smart phone halafu mwanamke mwenyewe anaweka pesa katika matiti au kafunga fundo kwa kweli wanawake hawa sijui wa wapi.si Kweli bwana labda uko kijijini kwenu, mbona tumeshuhudia wanawake wengi siku hizi wanawalea wanaume kwa kuwafanyia shopping, kuwapa magari wauze sura mpka kuwafuga ndani ya majumba yao, wanaume wengi wanahamia kwa wanawake, wanawake mjini ndio wenye pesa ndio watafutaji ndio watongozaji wakubwa sasa sijui huyo wa kwako umetoa wapi tena unasema kasuka mabutu wanawake siku hizi anasuka mabutu si kweli labda uko kishumundu;
Tena wanaume wengi utasikia natamani janamke la kunihonga yeye kazi yake iwe moja tu mapenzi, wanaume wa siku hizi hata kuonga shida naye anataka aongwe na mwanamke avae vizuri kama mwanamke mbona hao hujawazungumzia?
Tena wanawake wengi hawataki mambo ya kunganganiana sk hizi wanajua kutafuta anaenda mwenyewe bar, kokote anakotaka labda ashikwe tu na hamu kdg hatafuta wa faster faster maisha yanasonga mbona hao hamzungumzii.
Kuna wanaume wako bar wanawaomba bia wanawake na ananyweshwa mpka anaangusha gari mbona hao hamzungumzii. mimi nimeona mtoa maada ni alitongozaga zamani sana mbona wanawake hao siku hizi hawapo wanawake wengi siku hizi chinaaaaaaa, wanakopi faki, kucha faki, rangi feki, shepu feki mapesa ya kumwaga akitaka mwanaume anamnunua na akimzingua anachuka time vilevile a.k. dinzel
Tabia hizo wanazo wanawake.Ukiona mwanaume anakuuliza hivo jua ana-search maneno yamemuisha kwa wakati huo.halafu kama tabia hizi zinakushangaza basi mbona hushangai na nyiniy siku hizi mkitongoza na kuanza kumuuliza mwanamke " eti unasoma una kazi au unajishughulisha na nini? swali hili linatofauti gani na tabia uliyoiweka na 2 wote wanadhamira ya kimaslai.
Wanawake mmezidi kha!siku hizi wanadamu wamekaa kimaslai si wanawake si wanaume.
Hujawahi kuona hiyo?.Yaani we unadhani kila kinachoandikwa humu kinatokea dar tu!?na hapo namba 5. wewe unamatatizo ya akili yani unatumia hasira zako kuandika vitu visivyofanana na uhalisia yani mwanamke utoke nae akiwa amevaa tenge kaweka hela katika fundo na wewe akutegemee uwe umevaa suti tena unaweka hela katika wallet. labda useme baa hiyo iliyokuwa fikirani kwako wakati unaandika ilikuwa ni ipi je ya sinza masaki manzese tabata au mbagala? au the kilimanjaro hotel?
Sio kwel,kwan hujawahi kukaa na wadada wenzako usikie wanachowaza ?.Huwa mna-assume mwanaume akilini wakati kiuhalisia hata nyie hamko hivo hata nusu.sikiliza waswahili husema ndege warukao pamoja hufanana kwa namna moja au nyingine.
mwanamke anayekunywa pombe za kienyeji mara nyingi hutoka na wenzake wafananano hadhi .