Jestina
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 4,828
- 1,715
Loh...ata Wanaume wenye tabia kama hizi zakuwa jaji wanawake nakuwaandika vibaya wanawake atuwafagilii ....wanakua nagubu kazi kuona yamwenziye yake ayaoni ...
Hii nimeipenda....
Loh...ata Wanaume wenye tabia kama hizi zakuwa jaji wanawake nakuwaandika vibaya wanawake atuwafagilii ....wanakua nagubu kazi kuona yamwenziye yake ayaoni ...
Sa si umetaja zote xo kuna dem asiye kua nayo ata moja hapo lazma anayo ata moja xo unatushaur tusioe or?
Wanawake wenye tabia hizi huwa hawakai na wanaume;kiburi/jeuri,kupenda ubosi yaani kuwa juu ya waume zao,wenye kuwalinganisha waume zao na wanaume wengine kisha kuwaona waume zao si lolote,wanaopenda mambo ya ubinti na kujiona bado wanalipa kumbe wamezeeka,wanaopenda kutembelea ndugu,jamaa na marafik mara kwa mara na kusahau kuwahudumia waume zao kwa mambo mbali mbali,wenye kuchagua aina ya chakula na maisha mengine ambayo waume zao hawayawez,wenye kupenda sugar daddies,wavivu,wanaopenda kuongelea mambo ya familia na ya watu wengine mara kwa mara,wasiotaka suruhu,wenye hasira na jaziba..[/QUOT
Umetaja nyingi mno! Lkn kumbuka wenzetu ndo vioo vyetu vya kujitazamia. Before you finger point somebody easy look at yourself to make sure what you think is not reflect yourself without knowing. Anyway hawa watu wapo wengi sn kama ulivyowataja. Lkn kumbuka kuna wanawake wengi sn duniani lkn WAKE ni wachache sn. Period!
Mkuu huyo sio mwanamke tena bali ni pepo accordingly hizo tabia, Nimewahi kuwa na mahusiano na mdada mwenye tabia hizo zote, kwakweli nilikonda sana had watu wakawa wanashangaa, sikuwahi kuwa na amani hata siku moja na nilitamani kumuacha lakin nilikuwa nashindwa kabisa sababu nilikuwa nampenda sana ila kwakwel ni mengi sana ya kusimulia juu ya yule mwanamke pepo lakin hatimaye namshukuru sana Mungu wa Israel kwa kuniepusha na balaa lile na leo niko huru.
Hiyo ya kuwatembelea ndugu na kuacha majukumu yao, wanaume wengi inawaudhi sana...
kwa ushuhuda huu ndo naamini vitu vidogo ndo vinaharibu ndoa!
Mfalme Suleiman katika kitabu chake cha Mithali anasema "ni heri kuishi kwenye kona ya dari kuliko kuishi nyumba moja na mwanamke --------".
Dah! Pole sana, utakuwa umekutana na mwanamke kichaa!