Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 1,983
Itabidi uoe malaika aisee,ndio hawana mapungufu,lol
Itabidi uoe malaika aisee,ndio hawana mapungufu,lol
Itabidi uoe malaika aisee,ndio hawana mapungufu,lol
Kuanzia sentensi ya kwanza mpka mwisho sijaona kituo khaaaa.....Kweli umetiririka....Weka basi paragraph...
Pia wenye majivuno kupita kiasi,wanaojiona wanajua sana kuliko mumewe,wanafiki na wenye tamaa ya utajiri wa haraka.Wakali kuliko pilipili na wasiojua kuomba kitu kwa mumewe kwa kubembeleza.
malizia mkuu mbona umeishia hapo.mfalme suleiman katika kitabu chake cha mithali anasema "ni heri kuishi kwenye kona ya dari kuliko kuishi nyumba moja na mwanamke --------".
mkuu imekaa vizuritabia hizi ni;wanaojifanya wanajua kila kitu na wako perfect,wanaolalamika mara kawa mara kuwa wao wanatendewa vibaya au mambo flani hawayapendi,wakatishaji wa tamaa hata kawa mwenzi wake ana mipango mizur hawez kumtia moyo maana anataka yeye tu ndo awe mkuu ktk familia,pia huwa hawakili kuwa wapenz wao au waume zao kuwa wana akili au wazur,wavivu na wako tayar kugawa penz hata kwa mabosi pia wanawathamin wanaume wengine wenye maisha mazur hata kama sio waume au wapenz wao na wako tayar kutoka nao wknd au kujifanya kuna kaz za kiofis had wknd,pia wakal,wenye tabia za kuforce wapenz au waume zao,wenye jaziba na hasira,wenye ubabe na wasiokubal mume awe juu ktk masuala mbal mbal ya familia...mengine ongezen na nyinyi
Dah! Pole sana, utakuwa umekutana na mwanamke kichaa!
Wanawake wenye tabia hizi huwa hawakai na wanaume;kiburi/jeuri,kupenda ubosi yaani kuwa juu ya waume zao,wenye kuwalinganisha waume zao na wanaume wengine kisha kuwaona waume zao si lolote,wanaopenda mambo ya ubinti na kujiona bado wanalipa kumbe wamezeeka,wanaopenda kutembelea ndugu,jamaa na marafik mara kwa mara na kusahau kuwahudumia waume zao kwa mambo mbali mbali,wenye kuchagua aina ya chakula na maisha mengine ambayo waume zao hawayawez,wenye kupenda sugar daddies,wavivu,wanaopenda kuongelea mambo ya familia na ya watu wengine mara kwa mara,wasiotaka suruhu,wenye hasira na jaziba..