Dah! Pole sana, utakuwa umekutana na mwanamke kichaa!Wanawake wenye tabia hizi huwa hawakai na wanaume;kiburi/jeuri,kupenda ubosi yaani kuwa juu ya waume zao,wenye kuwalinganisha waume zao na wanaume wengine kisha kuwaona waume zao si lolote,wanaopenda mambo ya ubinti na kujiona bado wanalipa kumbe wamezeeka,wanaopenda kutembelea ndugu,jamaa na marafik mara kwa mara na kusahau kuwahudumia waume zao kwa mambo mbali mbali,wenye kuchagua aina ya chakula na maisha mengine ambayo waume zao hawayawez,wenye kupenda sugar daddies,wavivu,wanaopenda kuongelea mambo ya familia na ya watu wengine mara kwa mara,wasiotaka suruhu,wenye hasira na jaziba..
Pole mwaya naona yamekukuta!!
Pole mwaya naona yamekukuta!!
tabia hizi ni;wanaojifanya wanajua kila kitu na wako perfect,wanaolalamika mara kawa mara kuwa wao wanatendewa vibaya au mambo flani hawayapendi,wakatishaji wa tamaa hata kawa mwenzi wake ana mipango mizur hawez kumtia moyo maana anataka yeye tu ndo awe mkuu ktk familia,pia huwa hawakili kuwa wapenz wao au waume zao kuwa wana akili au wazur,wavivu na wako tayar kugawa penz hata kwa mabosi pia wanawathamin wanaume wengine wenye maisha mazur hata kama sio waume au wapenz wao na wako tayar kutoka nao wknd au kujifanya kuna kaz za kiofis had wknd,pia wakal,wenye tabia za kuforce wapenz au waume zao,wenye jaziba na hasira,wenye ubabe na wasiokubal mume awe juu ktk masuala mbal mbal ya familia...mengine ongezen na nyinyi