usiniite shemeji nshakuambia kama umedanganya ndio ushajichuria ubayaNdugu yangu usihukumu usije ukahukumiwa...bado nangojea majibu!!!
Shemeji Nivea hata majibu bado mmeshaanza kuninyanyapaa kweli??! Inawezekana sikuathirika maana tangu mwaka 2009 mpaka leo nadunda tu na afya tele...shemejiii!!!:crying:
Stor kama shigongo
Sukari tabata,Chumvi tabata,Maharage tabata,Sabuni tabata,Daftari tabata......Asili ya jina Tabata Mwarabu alikuwa ana duka la bidhaa za jumla na reja reja basi akiulizwa kitu na mteja anasema tabata kwa maana utapata Mtambuzi Jr ungemuuliza mwarabu Mabinti wenye UKWIMI wanapatikana mwarabu angekujibu tabata.
heri iwe kwako!
yote majaaliwa!
ikiwa positive ,bado utabaki kuwa mentor
ikiwa negatie utabaki kuwa mentor!
so hakuna kitu itabadilika i see!wewe ni wewe with or without HIV infections!
No Mentor don't do that a man does not escape his problems but do face them,after all solution ya matatizo si kuyakimbia iwe kwa mdada au mkaka,jipe moyo wa ujasiri sema liwalo na liwe ikibidi tafuta mtu wa kukukampan.Ukikaa kimya utajipa ugonjwa wa kukosa amani na furaha ya maisha kwa kuishi maisha ya bila kujijua na kujiamni.Amen dada...naomba mjulishe dada gfsonwin aniletee DOMPO! Maana sijui hali itakuwaje huko...
Poor thing? Najisikia afya bado ndugu yangu..mpaka i dont feel like kwenda kuchukua majibu. Naona yatanilostisha!!!
No Mentor don't do that a man does not escape his problems but do face them,after all solution ya matatizo si kuyakimbia iwe kwa mdada au mkaka,jipe moyo wa ujasiri sema liwalo na liwe ikibidi tafuta mtu wa kukukampan.Ukikaa kimya utajipa ugonjwa wa kukosa amani na furaha ya maisha kwa kuishi maisha ya bila kujijua na kujiamni.
Mentor habari yako bhana
usijari waambie wakutumie kwa sms