Fundisho toshaaaaa kabisa Mentor, yaani pombe ni haramu kabisa inakufanya uwe dunia nyingine na maamuzi mengine kabisa. Tuwe makini na watu tunaokutana nao kwa mara ya kwanza na kama ni kuanzisha mahusiano kabla hayajawa deep basi ni vema kupimana afya zetu au kama ukiona ukame umekukamata sana basi tumia kinga na kamwe wakati huo usifanye deep kissing kabisa ikwemo kuzama kule kwa chumvi au kwa koni.