Nakula ujana mwanangu, kufa kwaja.
Nah. He will be safe. Si unakuja nae?
Hahahaha. Una wasi wasiiiiii. Lol.
hahahahaha. lol. Afu wewe?
Hata wewe nitakupeleka.
my dear me nishahamaaa ,nilikuwa nachoka sana aisee..khah..uondoke usiku urudi usiku,na viwanja kule hakunaaa...muda wenyewe hakuna...tbt pamechangamka sana
hahaha....karibu sanaaa jiraniii....Aisee wewe paper getter hunipendi eeeh?
Hujamistua nichukue mikoba na mwanangu nije?
Nakufata huko hukoooo.
kwamba we ni member wa #TeamBazazi