nyooo. niwaone.
Tabata mama?
aiseeeeeee kumbe sezae unanipitaga tu kituoni na tinted yako eeeeh
Pole dada yng Wa ukweli! Kesho nakupitia!
tutakuzukia tu ukigoma kulipa bili ndo nitakuonyesha shoti kati gani upite hadi mbezi kwa mguu
Utampitisha Gereza la Segerea, bonyokwa, Vinane mpk kimara mwisho, then Matosa, Goba mpk Tanki bovu!