Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,489
- 42,564
Huchelewi kupata bia mbili ukaanza kuhubiri!!
Hahahah nakuanza kusimulia story za Kuzimu na jehanamu ha ha ha haaaaaa
Huchelewi kupata bia mbili ukaanza kuhubiri!!
Thank You dear.
Mpenzi akimaliza Kwa Resma nitakuja nae.
hahahaha. Basi tupo wengi.
Viwanja vya Mbezi hii hii?
Nilitaka nishangae. Haya bwana twenzzetu
Karibu kwetu, viwanja vyetu vya home kbs.
Aisee huku Mbezi nitahama. Kwanza hamna viwanja vya maana ipo Mbezi Luxury tu na swimming pool yake. Jana nimeenda Tabata yani utafikiri sijui uko wapi. *****.DJ anajua kazi yake. Pazuri mnooooo. Sijui ndo maana panaitwa KWETU PAZURI? Damn!
Na leo naenda tena mda si mrefu kuzimua.Hii Mbezi yenu mubaki nayo mi naenda Tabata. cc watu8, DEMBA, Mashaxizo, badiebey
Anaekuja twenzetu basi.
Angalizo: Design za Gogle na Excel hawatakiwi please. Hata #Team Bazazi ( Asprin, Kaizer, mwekundu, Kaka Kiiza miss neddy (lol) msije.
Hapa twende Mndengereko, TCleverly, Tized, Mr Rocky, Ntuzu, Don Mangi, Arushaone, mwallu, Lady doctor, Howt Lady, Preta, EMT, KIKUNGU, amu( aisee tukasuuze macho) Husninyo, Dinazarde ( lusungo usimshitue please)..... Pasco, Eiyer, sakapal(trust me, nice dudes to look at) miss chagga, Evelyn Salt
Twenzetuni bwana, The More The Merrier.
aje atembee. Usijali atarudi salama.
Huchelewi kupata bia mbili ukaanza kuhubiri!!
Hahahah nakuanza kusimulia story za Kuzimu na jehanamu ha ha ha haaaaaa