Tabata Kuna Viwanja!!

Tabata Kuna Viwanja!!

Karucee how dare hujui huko kwetu pazuri ndo viwanja vyangu na jana nimekuona umehonga DJ elfu akupigie wimbo wa georgina?
 
Last edited by a moderator:
Karucee how dare hujui huko kwetu pazuri ndo viwanja vyangu na jana nimekuona umehonga DJ elfu akupigie wimbo wa georgina?

hahahahaha. *****.

Georgina wa mamaaaaa, umeondoka Georgina, umeniachia masikitiko, jojina jojina aaaah.
 
Hahahahahaaa!
Karibu sana Tabata!
Wa jango utanipata!
Uje tule bata!
Huku hakuna matata!
...
Wa jango karibu nivae miwani! Hahahahaaaa!
Karibu sana Tabata! 😛oa:
 
ahsante kwa mwaliko wacha nijipodoe nitokee pande hizo....halafu umenifurahishaje kuwazuia team bazazi maana wangetuwekea usiku tu
 
ahsante kwa mwaliko wacha nijipodoe nitokee pande hizo....halafu umenifurahishaje kuwazuia team bazazi maana wangetuwekea usiku tu
Tusije tolewa nje tu.
 
Nilidhani viwanja vya kujengea nyumba na mashamba kumbe vya kuzimua
 
miss neddy!... I Love You queen...

come here and give me a french kiss..!
images
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom