Tabata Kimanga hakuna mtandao wa TTCL

vamda

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
867
536
Habari wanajamvi,

Naishi Tabata Kimanga eneo la maji chumvi. Inasikitisha kampuni ya simu ya umma (ttcl) haina network hili. Tunalazimika kutumia mitandao mingine ya watu binafsi.

Badala ya kuangalia na kutatua changamoto zilizopo watu wapo maofisini kusubiri mishahara mwisho wa mwezi. Tunaendelea kuiangalia Tanzania ya viwanja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi hapa nilipo inasoma 3G, kutakuwa na tatizo la kiufundi nadhani.
 
Habari wanajamvi,

Naishi tabata kimanga eneo la maji chumvi. Inasikitisha kampuni ya simu ya umma (ttcl) haina network hili. Tunalazimika kutumia mitandao mingine ya watu binafsi. Badala ya kuangalia na kutatua changamoto zilizopo watu wapo maofisini kusubiri mishahara mwisho wa mwezi. Tunaendelea kuiangalia Tanzania ya viwanja

Sent using Jamii Forums mobile app
Mie naishi hapa jirani na Daraja, napata LTE network, itakuwa setting za simu yako, watafute upate msaada zaidi 0222100100
 
Habari wanajamvi,

Naishi tabata kimanga eneo la maji chumvi. Inasikitisha kampuni ya simu ya umma (ttcl) haina network hili. Tunalazimika kutumia mitandao mingine ya watu binafsi. Badala ya kuangalia na kutatua changamoto zilizopo watu wapo maofisini kusubiri mishahara mwisho wa mwezi. Tunaendelea kuiangalia Tanzania ya viwanja

Sent using Jamii Forums mobile app
Network ya ttcl ipo vizuri. Vyema ukahakiki upande wa kifaa unachotumia pengne setting zmebadilika ila mtandao upo saf muda wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nami ni mkazi wa Kimanga majichumvi,,,,natumia TTCL siipati hiyo shida ya mtandao na ninaangalia movie kila siku kwenye App yao ya T-burudani bila shida yoyote......hebu jaribu kuchek upya settings za simu yako.
 
Habari wanajamvi,

Naishi tabata kimanga eneo la maji chumvi. Inasikitisha kampuni ya simu ya umma (ttcl) haina network hili. Tunalazimika kutumia mitandao mingine ya watu binafsi. Badala ya kuangalia na kutatua changamoto zilizopo watu wapo maofisini kusubiri mishahara mwisho wa mwezi. Tunaendelea kuiangalia Tanzania ya viwanja

Sent using Jamii Forums mobile app
Taarifa hizi sio za kweli Network ipo muda wore mimi natokea maeneo hayo
 
Habari wanajamvi,

Naishi tabata kimanga eneo la maji chumvi. Inasikitisha kampuni ya simu ya umma (ttcl) haina network hili. Tunalazimika kutumia mitandao mingine ya watu binafsi. Badala ya kuangalia na kutatua changamoto zilizopo watu wapo maofisini kusubiri mishahara mwisho wa mwezi. Tunaendelea kuiangalia Tanzania ya viwanja

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani kuna matatizo na simu yako Yaani settings maana mimi naishi maeneo haya na ninaendelea kufaidia vifurushi vyao vipya ambavyo vimeboreshwa kwa kiwango cha juu
 
Kusema kweli pamoja na madhaifu ya huu mtandao yanayosemwa sana humu lakini tangu nijiunge nao hawa jamaa network ilienda off siku moja tu.

Naenjoy sana kwa kweli, can't complain.
 
Habari wanajamvi,

Naishi tabata kimanga eneo la maji chumvi. Inasikitisha kampuni ya simu ya umma (ttcl) haina network hili. Tunalazimika kutumia mitandao mingine ya watu binafsi. Badala ya kuangalia na kutatua changamoto zilizopo watu wapo maofisini kusubiri mishahara mwisho wa mwezi. Tunaendelea kuiangalia Tanzania ya viwanja

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kusoma tu thread yako tayari nimetambua utakuwa na umri kati ya miaka 20 hadi 29, huna kazi maalumu ya kufanya, hukusoma mpaka level ya chuo kikuu , na huna malengo maalumu katika maisha yako

Mimi naishi eneo husika, natumia router ya TTCL nyumbani, pia natumia line ya TTCL katika sim yangu na vyote vinanipa 4G network nzuri tu hasa wakati huu ambapo nimeji quarantine nyumbani kuepuka COVID 19 . Sasa kwa nini nilianza kuku profile
  1. utakuwa unatumika na makampuni shindani kuichafua TTCL either kwa kulipwa pesa kidogo hivyo hujali upuuzi utakao andika una impact gani
  2. Umekosa hoja za msingi (ambazo ni nyingi tu) ukajikita kwenye hoja ya coverage ambayo ni ya uongo. Hii inadhihirisha thinking capacity yako na analytical skiils zako ni zero
  3. HUna line ya TTCL kama ulivyosema sababu ungekuwa nayo usingeandika huo upuuzi
  4. una wivu tu kwa shirika hili la kizalendo linalojikwamua kutoka katika anguko na kuinuka kwa kasi

asante sana na sasa urudi nyumbani kuliko noga
 
Ikiwa hapo dar inasumbua na mkioan c ndo kabsa chenga

god is good
 
Mbona Mtandao wa TTCL upo vizuri maeneo hayo.Nakushauri piga No.100 uwasiliane na wataalam wakuwekee mambo sawa.
 
Habari wanajamvi,

Naishi tabata kimanga eneo la maji chumvi. Inasikitisha kampuni ya simu ya umma (ttcl) haina network hili. Tunalazimika kutumia mitandao mingine ya watu binafsi. Badala ya kuangalia na kutatua changamoto zilizopo watu wapo maofisini kusubiri mishahara mwisho wa mwezi. Tunaendelea kuiangalia Tanzania ya viwanja

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha zako, mm naishi kimanga na network napata
acha kuchafua mtandao
 
Habari wanajamvi,

Naishi Tabata Kimanga eneo la maji chumvi. Inasikitisha kampuni ya simu ya umma (ttcl) haina network hili. Tunalazimika kutumia mitandao mingine ya watu binafsi.

Badala ya kuangalia na kutatua changamoto zilizopo watu wapo maofisini kusubiri mishahara mwisho wa mwezi. Tunaendelea kuiangalia Tanzania ya viwanja

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi pia naishi maeneo hayo mbona napata TTCL saafi tena 4G
Pata msaada toka huduma kwa wateja wakusaidie tatizo lako ni simu
 
Mhhhh tabata kimanga mtandao unapatikana vzr Sana,Cha kufanya nenda kwenye customer care shop pale nyuma ya tanesco tabata wakaangalie setting za simu yako na wakupe msaada ili ufurahie huduma za kizalendo .

Back
Top Bottom