Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,105 Reaction score 829,001 Jan 6, 2022 Thread starter #21 nyakubonga said: Duh kwamba ulitegemea Tulia atoe kauli ya kumpa moyo Ndugai kipindi hiki? Sidhani kama wewe ungeweza! Sio uoga, ni busara. Click to expand... Walau pole boss
nyakubonga said: Duh kwamba ulitegemea Tulia atoe kauli ya kumpa moyo Ndugai kipindi hiki? Sidhani kama wewe ungeweza! Sio uoga, ni busara. Click to expand... Walau pole boss
N nyakubonga JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 6,478 Reaction score 11,169 Jan 6, 2022 #22 Mshana Jr said: Walau pole boss Click to expand... Haha bora kukaa kimya tu mkuu
Mother Confessor JF-Expert Member Joined Jan 7, 2016 Posts 18,682 Reaction score 45,597 Jan 6, 2022 #23 Ekuweme said: Nasikia ashakabidhi barua usiku huu ya kujiuzuru Click to expand... Aaah weee sema kwelii...?
Ekuweme said: Nasikia ashakabidhi barua usiku huu ya kujiuzuru Click to expand... Aaah weee sema kwelii...?
Peril22 JF-Expert Member Joined Apr 15, 2020 Posts 1,850 Reaction score 3,202 Jan 6, 2022 #24 Kuna shida hapa
M mankafaraja JF-Expert Member Joined Aug 15, 2015 Posts 218 Reaction score 271 Jan 6, 2022 #25 Zambotti said: Mihimili mikuu miwili wakae kina mama, duh Click to expand... Kwa muda mrefu sana walikaa wanaume na wanawake hatukushtika sasa mbona wewe unatia shaka?
Zambotti said: Mihimili mikuu miwili wakae kina mama, duh Click to expand... Kwa muda mrefu sana walikaa wanaume na wanawake hatukushtika sasa mbona wewe unatia shaka?
Mkogoti TAPELI Mkubwa Joined May 3, 2020 Posts 2,415 Reaction score 3,927 Jan 6, 2022 #26 Peril22 said: Kuna shida hapa Click to expand... Mkuu nimekucheck dm sikupati, unaweza ukanicheck mimi mkuu🙏
Peril22 said: Kuna shida hapa Click to expand... Mkuu nimekucheck dm sikupati, unaweza ukanicheck mimi mkuu🙏
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,105 Reaction score 829,001 Jan 6, 2022 Thread starter #27 nyakubonga said: Haha bora kukaa kimya tu mkuu Click to expand... Ili kusikilizia..
Zambotti JF-Expert Member Joined Jul 2, 2016 Posts 1,983 Reaction score 3,669 Jan 6, 2022 #28 mankafaraja said: Kwa muda mrefu sana walikaa wanaume na wanawake hatukushtika sasa mbona wewe unatia shaka? Click to expand... Uongozi ni man oriented
mankafaraja said: Kwa muda mrefu sana walikaa wanaume na wanawake hatukushtika sasa mbona wewe unatia shaka? Click to expand... Uongozi ni man oriented
D Deceiver JF-Expert Member Joined Apr 19, 2018 Posts 9,446 Reaction score 17,059 Jan 6, 2022 #29 Ekuweme said: Nasikia ashakabidhi barua usiku huu ya kujiuzuru Click to expand... Aliyekabidhi barua Ni TECNO ya tochi au sabufa?
Ekuweme said: Nasikia ashakabidhi barua usiku huu ya kujiuzuru Click to expand... Aliyekabidhi barua Ni TECNO ya tochi au sabufa?
D Deceiver JF-Expert Member Joined Apr 19, 2018 Posts 9,446 Reaction score 17,059 Jan 6, 2022 #30 nyakubonga said: Duh kwamba ulitegemea Tulia atoe kauli ya kumpa moyo Ndugai kipindi hiki? Sidhani kama wewe ungeweza! Sio uoga, ni busara. Click to expand... Betina naye kabebwa. Bado tunatafuta sabufa la ukweli
nyakubonga said: Duh kwamba ulitegemea Tulia atoe kauli ya kumpa moyo Ndugai kipindi hiki? Sidhani kama wewe ungeweza! Sio uoga, ni busara. Click to expand... Betina naye kabebwa. Bado tunatafuta sabufa la ukweli
kson m JF-Expert Member Joined Jan 24, 2014 Posts 6,682 Reaction score 3,066 Jan 6, 2022 #31 Ekuweme said: Nasikia ashakabidhi barua usiku huu ya kujiuzuru Click to expand... Labda ya ku-re omba msamaha.mwana CCM kujiuzulu...next to impossible,labda amepata ukichaaa !!!!
Ekuweme said: Nasikia ashakabidhi barua usiku huu ya kujiuzuru Click to expand... Labda ya ku-re omba msamaha.mwana CCM kujiuzulu...next to impossible,labda amepata ukichaaa !!!!
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,105 Reaction score 829,001 Jan 6, 2022 Thread starter #32 kson m said: Labda ya ku-re omba msamaha.mwana CCM kujiuzulu...next to impossible,labda amepata ukichaaa !!!! Click to expand...
kson m said: Labda ya ku-re omba msamaha.mwana CCM kujiuzulu...next to impossible,labda amepata ukichaaa !!!! Click to expand...
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 38,558 Reaction score 48,897 Jan 6, 2022 #33 Jana nimepata maono; Ndugai asijiuzulu hili swala limalizwe kwenye vikao vya chama. Kwani kuna kila dalili ya kuchafuka kwa amani yetu jambo hili likiendelezwa. Kila upande uretreat amani itawale. Anayesikia neno hili toka kwa Bwana na asikie.
Jana nimepata maono; Ndugai asijiuzulu hili swala limalizwe kwenye vikao vya chama. Kwani kuna kila dalili ya kuchafuka kwa amani yetu jambo hili likiendelezwa. Kila upande uretreat amani itawale. Anayesikia neno hili toka kwa Bwana na asikie.
kitali JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 6,260 Reaction score 9,572 Jan 6, 2022 #34 Ukwaju said: Mimi nipo nae jirani hapa sijaona dalili zozote, ni vigumu kuachia top layer halafu aende wapi jua ana kundi kubwa kuliko lile la Lowassa au la G55 licha la humu ndani JF, nilichosikia ataomba tena msamaha hadharani kabla ya Kikao cha 29/ Jan Click to expand... Hana kundi lolote acha kumpa moyo wewe.
Ukwaju said: Mimi nipo nae jirani hapa sijaona dalili zozote, ni vigumu kuachia top layer halafu aende wapi jua ana kundi kubwa kuliko lile la Lowassa au la G55 licha la humu ndani JF, nilichosikia ataomba tena msamaha hadharani kabla ya Kikao cha 29/ Jan Click to expand... Hana kundi lolote acha kumpa moyo wewe.
Mpwayungu Village JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 14,575 Reaction score 31,012 Jan 6, 2022 #35 Kwani Kosa LA job ndugai lipo wapi, nielekezeni sielewi
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,105 Reaction score 829,001 Jan 6, 2022 Thread starter #36 Stroke said: Jana nimepata maono; Ndugai asijiuzulu hili swala limalizwe kwenye vikao vya chama. Kwani kuna kila dalili ya kuchafuka kwa amani yetu jambo hili likiendelezwa. Kila upande uretreat amani itawale. Anayesikia neno hili toka kwa Bwana na asikie. Click to expand... Anayesikia neno hili toka kwa Bwana na asikie.
Stroke said: Jana nimepata maono; Ndugai asijiuzulu hili swala limalizwe kwenye vikao vya chama. Kwani kuna kila dalili ya kuchafuka kwa amani yetu jambo hili likiendelezwa. Kila upande uretreat amani itawale. Anayesikia neno hili toka kwa Bwana na asikie. Click to expand... Anayesikia neno hili toka kwa Bwana na asikie.
GRANITE II JF-Expert Member Joined Oct 24, 2016 Posts 594 Reaction score 1,037 Jan 6, 2022 #37 SODIUM CYANIDE said: Kufa kufaana!! Adui muombee njaa.... Click to expand... Dah ukaamua kujiita kabisa NaCN au sio....Its true kila mtu afe kivyake
SODIUM CYANIDE said: Kufa kufaana!! Adui muombee njaa.... Click to expand... Dah ukaamua kujiita kabisa NaCN au sio....Its true kila mtu afe kivyake
Ukwaju JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 13,384 Reaction score 11,268 Jan 6, 2022 #38 kitali said: Hana kundi lolote acha kumpa moyo wewe. Click to expand... hata humu jamvini JF Ina maana huwaoni mashabiki wake wanakomaa asijiuzulu, wakati ss tunaona hajaomba msamaha Ila kejeli na kundi lake lina shangilia
kitali said: Hana kundi lolote acha kumpa moyo wewe. Click to expand... hata humu jamvini JF Ina maana huwaoni mashabiki wake wanakomaa asijiuzulu, wakati ss tunaona hajaomba msamaha Ila kejeli na kundi lake lina shangilia
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,105 Reaction score 829,001 Jan 6, 2022 Thread starter #39 Ukwaju said: hata humu jamvini JF Ina maana huwaoni mashabiki wake wanakomaa asijiuzulu, wakati ss tunaona hajaomba msamaha Ila kejeli na kundi lake lina shangilia Click to expand... Kaka hakuna jipya huko?
Ukwaju said: hata humu jamvini JF Ina maana huwaoni mashabiki wake wanakomaa asijiuzulu, wakati ss tunaona hajaomba msamaha Ila kejeli na kundi lake lina shangilia Click to expand... Kaka hakuna jipya huko?
Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 61,429 Reaction score 108,577 Jan 6, 2022 #40 Stroke said: Jana nimepata maono; Ndugai asijiuzulu hili swala limalizwe kwenye vikao vya chama. Kwani kuna kila dalili ya kuchafuka kwa amani yetu jambo hili likiendelezwa. Kila upande uretreat amani itawale. Anayesikia neno hili toka kwa Bwana na asikie. Click to expand... Labda ni neno kutoka kwa bwanako, na siyo bwana Mungu wa majeshi. Acha kula makande usiku yanakupa njozi za kishetani.
Stroke said: Jana nimepata maono; Ndugai asijiuzulu hili swala limalizwe kwenye vikao vya chama. Kwani kuna kila dalili ya kuchafuka kwa amani yetu jambo hili likiendelezwa. Kila upande uretreat amani itawale. Anayesikia neno hili toka kwa Bwana na asikie. Click to expand... Labda ni neno kutoka kwa bwanako, na siyo bwana Mungu wa majeshi. Acha kula makande usiku yanakupa njozi za kishetani.