Apia..... Sema suuuu!!!Nasikia ashakabidhi barua usiku huu ya kujiuzuru
Angalia tweet ya Boniface Jacob aliyekuwa meya wa UbungoApia..... Sema suuuu!!!
Mkuu Bujibuji, Mungu ayuamshe salama tukatafute pesa, hii nchi ngumu sana sometimes.Apia..... Sema suuuu!!!
Sasa huyo Boniface ndio source yako kweli? bora angeandika Chahali ningeamini.Angalia tweet ya Boniface Jacob aliyekuwa meya wa Ubungo
Sasa huyo Boniface ndio source yako kweli? bora angeandika Chahali ningeamini.
Hivyo katika akili za kawaida barua usiku unakabidhi kwa walinzi au kuna office za serikali 24 hour kama kituo cha kuuza mafuta?
Taarifa ambazo hatujathibitisha kutoka kwa mtu wa karibu wa Speaker Ndugai amenidokezea kwamba Spaker Ndugai aliandika na kukabidhi barua ya kujiuzulu u speaker wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Tutawajuza mara tutakapoiona hino barua au baada ya kupata taarifa zaidi
Kusema Ndugai ana kundi kuliko la Lowasa ni propaganda tu.Mimi nipo nae jirani hapa sijaona dalili zozote, ni vigumu kuachia top layer halafu aende wapi jua ana kundi kubwa kuliko lile la Lowassa au la G55 licha la humu ndani JF,
nilichosikia ataomba tena msamaha hadharani kabla ya Kikao cha 29/ Jan
Na wakiendelea kuchekewa watajimilikisha kila kitu. Na mwisho wa siku, wanaume ndiyo tutaonekana kama wanawake vile.Mihimili mikuu miwili wakae kina mama, duh