Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 372,652
- 863,511
Huwa tunapata raha na matumaini sana kabla ya uchaguzi lakini baada ya uchaguzi inajulikana kabisa nini kitatokea na kutakua na nyuzi gani Humu.
Hebu tuupe wakati mudaHuwa tunapata raha na matumaini sana kabla ya uchaguzi lakini baada ya uchaguzi inajulikana kabisa nini kitatokea na kutakua na nyuzi gani Humu.
2015 upinzani ulikuwa mkubwa sana, sasa 2020 naona kabisa kuna Shida Mahali.
Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app