alhuda ni gazeti: majukwaa yametajwa katika thread: hajakuharibia kitu we pimbi: hajapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa, ni juhudi zake binafsi, acha kujidharau mwafrika wewe
Jembe hilo. Linakubalika duniani na mbinguni.
Samahani sikujua wewe ni mpambe wa ufisadi. Endelea kupamba, ila nafasi yenu haipo tena. Mbaya zaidi ukishapamba unaishia patupu.
You are wsting your time, Muhongo is stale news-kiporo haswa!!tuliza boli; hivi karibuni mtaanza kukila hiko kiporo, tena wewe utakuwa wa kwanza kupanga foleni, ndo utajua kama kilichacha au kilitulizwa kwenye friza
Msitupotezee muda, wapo wengi kama yeye ndani na nje ya nchi, hawatumii muda wao kupata watu kama wewe kupewa maelekezo yakutuletea humu. wacha watu wamuelewe prof Muhongo wanavyo mfahamu.
Sasa ni kama prof Muhongo anajidhalilisha au ana dhalilishwa na hao wanao fikiri wanamjenga. aendelee kutambuliwa duniani kwa utaalam wake, atabaki kutambuliwa ni Mtanzania tu, lakini kwa hapa nyumbani ameambiwa na prof mwenzake atupishe hatoshi.
umesema kisiasa??????? hahahhaha jipe moyo JEMBE hili linarudi, kivingine na lazima umpigie saluti we pimbiYou are wsting your time, Muhongo is stale news-kiporo haswa!!
You are flogging a dead horse, kisiasa Muhongo is no more , jaribu tena.
Wakati dunia na mataifa ya Magharibi ya Ulaya na Marekani, yakifanya jitihada kubwa kukusanya wasomi wenye vipaji toka sehemu mbalimbali duniani, kwa ajili ya tafiti na vumbuzi ili kijipeleka mbele zaidi kisayansi na kiteknolojia;
na wakati wasomi wanaosaka maslahi zaidi kimaisha wakiendelea kukimbilia Ulaya na Marekani (Brain drain), Wabunge masilahi Tanzania wanafanya jitihada za kubwa kufukuza na kuwakatisha tamaa wachache wenye nyoyo za Uzalendo.
Profesa Muhongo, ni mmoja wa wanasayansi mahiri katika sayansi ya madini (Geologist), anayetambuliwa na kuheshimika na mashirika mbalimbali ya kisayansi na tafiti ulimwenguni.
Miongoni mwa taasisi zinazoaminika kimataifa zinazomtambua na kumtumia Profesa Muhongo katika uwezo wake wa utendaji wa Kazi ni pamoja na FGSA la Marekani, FGS la London, Uingereza: Hon FCAGS la London, Uingereza; Hon FCGS la China, na Chuo cha kuendelea Sayansi ya dunia (FTWAS).
(Source AL-HUDA)
Kwa sifa yake ya kukumbatia mabeberu na kutuona sisi wazawa(SETH EXCLUSIVE) kama hatuna akili wala hatuhitajiki kumiliki njia kuu za uchumi wa taifa letu wenyewe,aende huko ikiwezekana achukue uraia kabisa.Hatuhijaji mtu mwenye kiburi na majivuno kama yeye,wakati mababu zetu akina chifu Mkwawa,mangi sina,kinjeketile na wengineo wakipoteza maisha kupigania nchi yeye anatafuta mabeberu wazidi kutunyonya,NO WAY,LET HIM GO!!!!!tunavyo vichwa kibao vyenye uchungu na nchi hii sio yeye.PAMBAF!!!
umelishwa unga wa ndere wewe! hakuna mtu mzalendo kama Muhongo, wewe na wanadi vitalu wenzako ndio mnaopandikiza huo uongo kwa watu ili mbinu zenu chafu zifanikiwe, ila mtaisoma namba mwaka huuu hahahahhahahahahahhahahah (In John Komba's voice)
Msitupotezee muda, wapo wengi kama yeye ndani na nje ya nchi, hawatumii muda wao kupata watu kama wewe kupewa maelekezo yakutuletea humu. wacha watu wamuelewe prof Muhongo wanavyo mfahamu.
Sasa ni kama prof Muhongo anajidhalilisha au ana dhalilishwa na hao wanao fikiri wanamjenga. aendelee kutambuliwa duniani kwa utaalam wake, atabaki kutambuliwa ni Mtanzania tu, lakini kwa hapa nyumbani ameambiwa na prof mwenzake atupishe hatoshi.
So what? Kuwa msomi FISADI, KUWADI wa Rasilimali zetu, Mwenye kutumika na mataifa ya Magharibi kutatunufaisha vipi Watanzania? ... Jitambue! Hata Mobutu kuna wakati alitumiwa sana na hao hao.. Ukiona Mataifa nyang'anyi wanakusifia jiangalie sana ....