ni matusi gani hayo aliyotukanwa Rais? tutajie ikiwezekana tumpeleke Mahakamani harakaKuna jambo linakera sana mtandaoni kuona MTU kwa makusudi anaamua kumtusi Mh Rais Dr john pombe Joseph Magufuli tena anamdhalilisha kwa kumuita majina ya ajabu ajabu mi nadhani ifike wakati waheshimu taasisi ya urais km hawataki kuheshimu taasisi hiyo vyombo vilivyoundwa maalum kwa kazi hiyo kama TISS, Polisi na JWTZ iwashurutishe kwa nguvu kutii taasisi ya urais.
Nasema hivi kwasababu nimesoma maandiko aliyoandika mtu anayeitwa Ben Sanane na nimewaambia ni mfanyakazi wa cdm makao makuu km mkuu wa kitengo cha utafiti na mtu wa karibu sn na Mh Mbowe kiukweli machapisho yake ya Jana naleo mtandaoni inapasa kabisa kumfikisha ktk vyombo vya usalama hasa kile chombo kilichopewa mamlaka kulinda taasisi ya Urais. Tukiacha watu kuchezea taasisi ya urais kuna hatari kubwa taasisi hiyo kutoheshimika milele. Watanzania pamoja na demokrasia ya vyama Vingi kuanzishwa nchini lkn hiyo haitoi nafasi kwa kutusi Mh Rais.
Nimeamua kuandika kwa uchungu kwasababu haya yote yanafanyika wakuu wa wilaya wapo mdogo wangu Ally Salum Hapi DC kinondoni yupo kimya mh rais anadhalilishwa wilayani kwake hajachukua hatua, mkuu wa Mkoa Mh Paul Makonda yuko kimya wakati majeshi yote ya kulida taasisi ya Urais wanayo, cjui wanasubiri mpk Mwigulu Nchemba Waziri wa mambo ya ndani au naibu wake Hamad Masauni ndiyo wachukue hatua?
Jamani ninyi viongozi mliyopewa mamlaka mkishindwa tuachieni sisi vijana wa CCM tufanye kazi hiyo hatuta kubali kuona Rais wetu anadhalilishwa . Muda sasa umefika wa kusema no no no.
Tunataka kuona hatua zikichukuliwa haraka iwezekanavyo
Ben inawezekana una malezi ya kilevi na inawezekana unaandika umelewa lkn ujue taasisi ya Urais ina hadhi yake na inalindwa kisheria Mimi nimewaambia wasipotaka kuulinda hadhi ya taasisi Ya urais kama hawatafanya ivyo sisi wanaccm tutafanya ivyo. Bahati nzuri nishafanya utafiti nakuwafahamuvwalinzi wenu wote na CV yao.
Ukijiheshimu utaheshimiwa!!!Kuna jambo linakera sana mtandaoni kuona MTU kwa makusudi anaamua kumtusi Mh Rais Dr john pombe Joseph Magufuli tena anamdhalilisha kwa kumuita majina ya ajabu ajabu mi nadhani ifike wakati waheshimu taasisi ya urais km hawataki kuheshimu taasisi hiyo vyombo vilivyoundwa maalum kwa kazi hiyo kama TISS, Polisi na JWTZ iwashurutishe kwa nguvu kutii taasisi ya urais.
Nasema hivi kwasababu nimesoma maandiko aliyoandika mtu anayeitwa Ben Sanane na nimewaambia ni mfanyakazi wa cdm makao makuu km mkuu wa kitengo cha utafiti na mtu wa karibu sn na Mh Mbowe kiukweli machapisho yake ya Jana naleo mtandaoni inapasa kabisa kumfikisha ktk vyombo vya usalama hasa kile chombo kilichopewa mamlaka kulinda taasisi ya Urais. Tukiacha watu kuchezea taasisi ya urais kuna hatari kubwa taasisi hiyo kutoheshimika milele. Watanzania pamoja na demokrasia ya vyama Vingi kuanzishwa nchini lkn hiyo haitoi nafasi kwa kutusi Mh Rais.
Nimeamua kuandika kwa uchungu kwasababu haya yote yanafanyika wakuu wa wilaya wapo mdogo wangu Ally Salum Hapi DC kinondoni yupo kimya mh rais anadhalilishwa wilayani kwake hajachukua hatua, mkuu wa Mkoa Mh Paul Makonda yuko kimya wakati majeshi yote ya kulida taasisi ya Urais wanayo, cjui wanasubiri mpk Mwigulu Nchemba Waziri wa mambo ya ndani au naibu wake Hamad Masauni ndiyo wachukue hatua?
Jamani ninyi viongozi mliyopewa mamlaka mkishindwa tuachieni sisi vijana wa CCM tufanye kazi hiyo hatuta kubali kuona Rais wetu anadhalilishwa . Muda sasa umefika wa kusema no no no.
Tunataka kuona hatua zikichukuliwa haraka iwezekanavyo
Wanajiita vijana,s imekua xkm=?
sn=?
Cjui=?
Acheni us.h.og@ vijana wa ccmBen inawezekana una malezi ya kilevi na inawezekana unaandika umelewa lkn ujue taasisi ya Urais ina hadhi yake na inalindwa kisheria Mimi nimewaambia wasipotaka kuulinda hadhi ya taasisi Ya urais kama hawatafanya ivyo sisi wanaccm tutafanya ivyo. Bahati nzuri nishafanya utafiti nakuwafahamuvwalinzi wenu wote na CV yao.
Na raisi anaanzaje kutisha raia wake na kuwabagua.Hivi unaanzaje hata kufikiria kumtukana Rais?
Tukubaliane kutokukubaliana na kutafuta njia muafaka kuaddress tofauti bila kuutusi Urais na kumtusi Rais
Ben inawezekana una malezi ya kilevi na inawezekana unaandika umelewa lkn ujue taasisi ya Urais ina hadhi yake na inalindwa kisheria Mimi nimewaambia wasipotaka kuulinda hadhi ya taasisi Ya urais kama hawatafanya ivyo sisi wanaccm tutafanya ivyo. Bahati nzuri nishafanya utafiti nakuwafahamuvwalinzi wenu wote na CV yao.
Ukijiheshimu utaheshimika tu..lakini ukitaka heshima za unafiki au woga..hizo siyo heshima kamwe..watu watakusalimia shikamoo na kupiga hadi magoti..ukipita nyuma wanakung'ong'a na kukucheka. Kumheshimu mtu kwa dhati hakuhitaji vitisho kama vyako..Kuna jambo linakera sana mtandaoni kuona MTU kwa makusudi anaamua kumtusi Mh Rais Dr john pombe Joseph Magufuli tena anamdhalilisha kwa kumuita majina ya ajabu ajabu mi nadhani ifike wakati waheshimu taasisi ya urais km hawataki kuheshimu taasisi hiyo vyombo vilivyoundwa maalum kwa kazi hiyo kama TISS, Polisi na JWTZ iwashurutishe kwa nguvu kutii taasisi ya urais.
Nasema hivi kwasababu nimesoma maandiko aliyoandika mtu anayeitwa Ben Sanane na nimewaambia ni mfanyakazi wa cdm makao makuu km mkuu wa kitengo cha utafiti na mtu wa karibu sn na Mh Mbowe kiukweli machapisho yake ya Jana naleo mtandaoni inapasa kabisa kumfikisha ktk vyombo vya usalama hasa kile chombo kilichopewa mamlaka kulinda taasisi ya Urais. Tukiacha watu kuchezea taasisi ya urais kuna hatari kubwa taasisi hiyo kutoheshimika milele. Watanzania pamoja na demokrasia ya vyama Vingi kuanzishwa nchini lkn hiyo haitoi nafasi kwa kutusi Mh Rais.
Nimeamua kuandika kwa uchungu kwasababu haya yote yanafanyika wakuu wa wilaya wapo mdogo wangu Ally Salum Hapi DC kinondoni yupo kimya mh rais anadhalilishwa wilayani kwake hajachukua hatua, mkuu wa Mkoa Mh Paul Makonda yuko kimya wakati majeshi yote ya kulida taasisi ya Urais wanayo, cjui wanasubiri mpk Mwigulu Nchemba Waziri wa mambo ya ndani au naibu wake Hamad Masauni ndiyo wachukue hatua?
Jamani ninyi viongozi mliyopewa mamlaka mkishindwa tuachieni sisi vijana wa CCM tufanye kazi hiyo hatuta kubali kuona Rais wetu anadhalilishwa . Muda sasa umefika wa kusema no no no.
Tunataka kuona hatua zikichukuliwa haraka iwezekanavyo
Tunaowaiga na kujikomba kwao hawaabudu taasisi hiyo ya urais ikibidi wanaushtaki e.g.Ben inawezekana una malezi ya kilevi na inawezekana unaandika umelewa lkn ujue taasisi ya Urais ina hadhi yake na inalindwa kisheria Mimi nimewaambia wasipotaka kuulinda hadhi ya taasisi Ya urais kama hawatafanya ivyo sisi wanaccm tutafanya ivyo. Bahati nzuri nishafanya utafiti nakuwafahamuvwalinzi wenu wote na CV yao.