dogo mimi nasoma masterz sweden even my 1st degree sikusomea Tanzania hawa jamaa zama zilizopita ilikuwa kila baada ya miezi 4 wanakuja na takwimu za kubumba ila nashangaa nw kimyaSo what?ulitaka itoe takwimu za watu kama nyie mliokua mnapenda kusoma udsm ila kutokana na kuwa vilaza huko secondary mkapigwa chini au ulitaka ifanyaje?