DodomaTZ
Senior Member
- May 20, 2022
- 161
- 200
•Huduma zinazotelewa zinajumuisha elimu ya afya, saratani,chanjo za saratani,uchunguzi wa awali ,vipimo,tiba, mafunzo na tafiti za saratani.
•Taasisi inahudumia wagonjwa kutoka ndani ya nchi wa nje ya nchi, kama vile Zambia,Malawi,Comoro,Burundi,Msumbiji n.k.
•Katika safari ya matibabu ya saratani, mgonjwa hupitia hatua mbali mbali ili kuhakikisha anapata huduma iliyo bora kuanzia usajili hadi kupata tiba.