Taasisi ya Elimu ichunguzwe

malinyi

Senior Member
Mar 17, 2017
191
250
Taasisi ya elimu imeacha jukumu lake la msingi la kutunga na kusimamia mitaala sasa imejawa na uroho na tamaa ya fedha na biashara haramu.

Wanalazimisha shule binafsi zitumie vitabu vyao ambavyo ni below standard.

Wanahonga wakaguzi (wadhibiti ubora) na kuwatumia kufanikisha biashara yao haramu.

Wakaguzi wanapita shule za English medium kunyanyasa wenye shule na kuwaamrisha wakusanye na wachome moto vitabu vyote ambavyo si vya taasisi.

Tunahimiza reading culture lakini taasisi ya elimu wanadiscourace reading culture ili wauze vitabu vyao pekee.

Wanefikia hatua kulazimisha shule binafsi English medium wanunue log book, attendance register walizoziprint wao huu ni uhujumu uchumi.

Hawalipi Kodi wanafanya biashara ya mabilioni pesa zote zinaliwa na mkurugenzi wa taasisi ya elimu akishirikiana na kundi lake maslahi

Waziri Ndakichako ulikuwa mwalimu wangu UDSM very smart indeed nakuheshimu daima

Mama you are so smart please unda tume haraka kuchunguza upuuzi unaofanya na mkurugenzi wa taasisi ya elimu ba kikundi maslahi chake

Wanaihujumu elimu na wanaihujumu Tanzania

Wanatumia ofisi ya Umma kwa maslahi binafsi

Please please please mama yangu Ndalichako na mama yangu Samia Suluhu Hassan nawapenda na kuwaheshimu sana .

Taasisi ya elimu wanawachafua na wanawakosea adabu mno

Please please taasisi ya elimu ni jipu
 

TATA MKURIA

JF-Expert Member
Apr 6, 2015
241
500
Aisee...
Hizi shutuma zinaonesha kuwa wewe ni mhanga, ama wamekufanyia hujuma. Pole mkuu, acha wafuatiliwe ili tujue ukweli.
 

Kifurukutu

JF-Expert Member
Aug 29, 2013
4,101
2,000
TIE ndio wanaoandaa mitaala,

Vitabu wanaandaa kulingana na mitaala wanayoaandaa.

Necta wanatunga mitihani kulingana na mitaala na vitabu vya TIE,, wewe umepata unatumia vitabu gani hivyo unavyosema ni vizuri zaidi ya wanaohusika na elimu?

Huenda hivyo vitabu viko nje ya mtaala.

Wacha kutuhumu, ni shule ipi hiyo vitabu vimechomwa?

Ni wapi huko attendance zinachapishwa na TIE?
Taasisi ya elimu imeacha jukumu lake la msingi la kutunga na kusimamia mitaala sasa imejawa na uroho na tamaa ya fedha na biashara haramu

Wanalazimisha shule binafsi zitumie vitabu vyao ambavyo ni below standard...
 

Punda wa Dobi

JF-Expert Member
Jul 4, 2013
545
250
Taasisi ya elimu imeacha jukumu lake la msingi la kutunga na kusimamia mitaala sasa imejawa na uroho na tamaa ya fedha na biashara haramu

Wanalazimisha shule binafsi zitumie vitabu vyao ambavyo ni below standard...
Hii taasisi ni ile TEA ya pale Mikocheni?
 

malinyi

Senior Member
Mar 17, 2017
191
250
Trully Taasisi ya elimu in abaikosea mno nchi hii
Why waache wajibu wao wa msingi wa kutunga na kusimamia mitaala na wajiingize kwenye biashara haramu?

Why wanyanyase English medium schools ambazo zinatoa elimu na kulipa Kodi?

Why waue publishing industry ambayo inasaidia kugwnerate knowledge na inalipa Kodi?

Why wafanye biashara ya biliions of money bila kulipa Kodi huku mapato yakiishia kwa mkurugenzi na kikundi maslahi chake?

It's not fair ni uhujumu uchumi
 

Mwalimu wa tuisheni

JF-Expert Member
Oct 19, 2019
1,924
2,000
Huu upuuzi ulianza mwaka 2010-2011 promotion za vitabu vyao ilishika kasi, unakuta kitabu cha physics, chemistry vimeungwaungwa, mada hazieleweki nawakumbuka sana kina Respicious kiiza, sedrick magase, walikuwa wanavitabu vizuri sana
 

Faana

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
17,691
2,000
Hii taasisi ni ile TEA ya pale Mikocheni?
TEA ni Tanzania Education Authority - Japokuwa sijui majukumu yao ni nini
TIE ni Tanzania Institute of Education - Ndiyo hao wanaandaa na kusimamia Mitaala ya Elimu ya Msingi, Sekondari na Vyuo vya Ualimu
 

malinyi

Senior Member
Mar 17, 2017
191
250
Qualities ya mwalimu ni
1.Academic excellence
2.Pedagogical skills
3.Professional Ballance

Swali linakuja

How a teacher can have academic excellence na pedagogical skills Kama unamnyina autonomy na diversity ili tu taasisi ya elimu ifanye biashara haramu kinyume na sheria?
 

Mr Dudumizi

JF-Expert Member
Sep 9, 2020
1,234
2,000
Waziri husika akipuuza haya uliyoandika hapa, basi na yeye atachukuliwa kama muhusika wa tatizo hili.
 

malinyi

Senior Member
Mar 17, 2017
191
250
Bado Nina Imani na Mama Ndalichako alinifundisha vizuri educational measurement and evaluation UDSM Mlimani campus

Taasisi ya elimu ni kikundi maslahi back wanaihujumu nchi yangu hii ninayoipenda mno

Tunaencourage reading culture wao wanadiscourge reading culture ili wafanye biashara haramu ya vitabu vyao

Pathetic.Very very sad indeed
 

Kifurukutu

JF-Expert Member
Aug 29, 2013
4,101
2,000
wanaoandaa mitaala ndio wenye vitabu sahihi!
hao wengine wameandaa vitabu kwa kutumia miongozo ipi?

Mimi kiwa mnufaika hi6o haikuhusu
Wewe ni beneficiary wa uovu kaa kimya
Shule kadhaa Dodoma na Dar zimepatwa na unyanyasaji huu
Bado zipo nyingi zinaogopa kus ma
 

Uncle Jei Jei

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
1,632
2,000
kiukweli vitabu vingi havina ubora...kuna dogo nilikuwa namsaidia math na geog yupo form 3....daaaah, kuna muda ilibidi niwe natumia uzoefu..eti unakuta topic ya map kwenye kitabu ipo page hazizidi 10....NONSENSE
Kabla hujasema NONESENSE kwa vitabu vya TIE jiulize, mwenye jukumu la kuandaa mtaala ni nani? Na umeangalia mitihani ya NECTA ukakuta iko nje ya vitabu vya TIE?

Mi nafikiri tupime usharo wa vitabu vyao kwa kuangalia mitihani na marking scheme za mitihani ya NECTA Kama ziko nje ya vitabu vyao ndio tuwahukumu
 

malinyi

Senior Member
Mar 17, 2017
191
250
Zamani education was content based
Siku hizi education is competency based hivyo kupima mutihani ba marking schemes siyo right criteria
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom