Taasisi Ipi inaogozwa na Mama Obama kule US na Ipi Iliongozwa na Mama M. Nyerere? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taasisi Ipi inaogozwa na Mama Obama kule US na Ipi Iliongozwa na Mama M. Nyerere?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by chatu junior, Jan 4, 2012.

 1. c

  chatu junior Member

  #1
  Jan 4, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF ni kajiswali tu kadogo najiulizaga labda ipo au haipo.Tukianzia hapa kwetu Tanzania hivi ni taasisi gani
  iliyoongozwa na mama Maria Nyerere alipokuwa ikulu kwa miaka 27?
  Na je kwa US first lady au mama Obama je ,anaongoza taasisi gani?
  Au maybe hawana roho ya ujasiriamali kama walivyokuwa Mama Anna Mkapa na EOTF, na Mama Salma Kikwete
  na WAMA?
   
 2. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #2
  Jan 4, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  sio kila kitu lazima tuangalie kwao hata sisi tunaweza dizaini kitu na kikawa cha kuigwa mkuu kucopy kila k2 kwao ndo chanzo cha magep kila usubui !!
   
 3. M

  Murrah Senior Member

  #3
  Jan 4, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mrs Kikweta na Mrs Mkapa hawana majukumu ya kuwatunza Marais ndio maana wamejipa Kazi mbadala
   
 4. N

  Ngoiva Lewanga Senior Member

  #4
  Jan 4, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mrs. Obama anaujasiri sana, isitoshe ni mwanasheria.
   
 5. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #5
  Jan 4, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Kuna kitu kinaitwa "mirija ya unyonyaji"! upo hapo mkuu?
   
 6. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #6
  Jan 4, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,105
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  lengo ni kujua,ma first lady wangapi wanatumia ikulu kuanzisha miradi yao-?
   
 7. KOMBESANA

  KOMBESANA JF-Expert Member

  #7
  Jan 4, 2012
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 862
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  tena kwa nini alipoondoka dada anna mkapa eotf haikuendelea na mwalimu kaanzisha wama?zile kwa maoni yangu wangeanzisha na waume zao baada ya kustaafu tupate kitu kinachofanana na gates foundation vinginevyo halo halo
   
Loading...