Taarifa ziara ya rais Kikwete nchini Uingereza

Taarifa ziara ya rais Kikwete nchini Uingereza

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,803
TUESDAY, APRIL 01, 2014


THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
[TABLE="width: 637"]
[TR]
[TD]Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.compress@ikulu.go.tz
Fax: 255-22-2113425
[/TD]
[TD] [/TD]
[TD]
PRESIDENT'S OFFICE,
THE STATE HOUSE,
P.O. BOX 9120,
DAR ES SALAAM.
Tanzania.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
TAARIFA KWA UMMA


Uingereza inajivunia kuwa nchi inayoongoza katika uwekezaji nchini Tanzania na itaendelea kuisaidia Tanzania katika jitihada zake za kiuchumi na kuleta maendeleo .

Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron amemuambia Rais Kikwete wakati wa mazungumzo yaliyofanyika 10 Downing Street, Leo tarehe 31 March, 14, ambapo ndipo yalipo Makao Makuu ya Waziri Mkuu wa Uingereza.

"Tunafurahia sana uhusiano wetu na kujivunia kuwa tunaongoza katika
Uwekezaji nchini Tanzania" Bw. Cameron amesema na kumhakikishia Rais Kikwete kuwa Uingereza iko tayari kutoa misaada zaidi.

Rais Kikwete amewasili nchini Uingereza tarehe 30 Machi, 2014 kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku 3 kufuatia mualiko wa Bw. Cameroon ambaye pia amemuomba Rais Kikwete aendelee kutoa mchango wake wa mawazo katika masuala ya kimataifa hasa baada ya mwisho wa muda wa malengo ya millennium ya 2015.

"Tunakaribia mwisho wa muda wa malengo ya millennia Mwaka 2015, tutahitaji kuweka vipaumbele vingine baada ya hivyo kama kuondosha umaskini, Maji safi na salama, masuala ya ufisadi na utawala bora, natumaini utaendelea kutoa mchango wako baada ya malengo hayo kufikia tamati" Waziri Mkuu Cameron amemuambia Rais Kikwete ambapo Rais amekubali ombi hilo na kuahidi ushirikiano wake.

Mapema leo asubuhi Rais amekutana na mtoto wa Mfalme Prince Andrew katika makazi ya Malkia ya Buckingham ambapo wamebadilishana mawazo kuhusu mambo mbalimbali ya Kimataifa na Kijamii.

Kabla ya kwenda Buckingham Rais amefungua mkutano kuhusu uwekezaji na kuelezea fursa na nafasi zilizopo za uwekezaji nchini Tanzania na kuelezea kwanini wawekezaji watakuwa wanafanya uamuzi bora kwa kuwekeza Tanzania kuwa ni pamoja na;

"Fursa nyingi, amani, usalama, soko la kutosha na kubwa kwa vile Tanzania iko katika Umoja wa Afrika Mashariki, Ukanda wa Maziwa Makuu na Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika,hivyo kuwa na uhakika wa soko kubwa na pana" amesema.

Katika ziara yake Rais pia amekutana na Mstahiki Meya wa Jiji la London Mama Alderman Fiona Woolf na kukaribishwa rasmi Jijini London. Mstahiki Meya anatarajia kutembelea Tanzania, Mwezi Septemba Mwaka huu.

Rais alipowasili London tarehe 30 Machi,2014, alikutana na Watanzania wanaoishi nchini Uingereza na kuwaeleza maendeleo yaliyopo nchini Tanzania.

Rais anaendelea na ziara yake nchini Uingereza

Mwisho.

Imetolewa na;

Premi Kibanga.
Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi,
London Uingereza
31 Machi, 14
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Tunampongeza sana rais wetu kikwete,ngumi jiwe
 
Unaweza Kupendwa Na Mwingereza Bila Kufuata Demokrasia Ya Ushoga? Waulize Walopitisha Sheria Kali Za Ushoga Wameshughurikiwaje? Kama Kweli Na Sisi Tunapinga Ushoga Iweje Sisi Tupendwe Na Waingereza Na Nchi Jirani Inayopinga Ushoga Kama Sisi Ichukiwe Sana Na Uingereza? Je Nani Mpingaji Halisi Wa Ushoga Kati Yetu Sisi Na Nchi Hiyo? Je Ni Kweli Sisi Tunapinga Ushoga? Je Kama Ni Kweli Sisi Tunapinga Ushoga, Sasa Kwanini Sisi Tupendwe Na Waingereza Na Hapo Hapo Nchi Jirani Ishughurikiwe Na Waingereza Kwa Kupinga Ushoga ? Je Yawezekana Viongozi Wetu Wanatoa Kauli Za Nje Za Kupinga Ushoga Lkn Ndani Wanakubali? Tafakari Peke Yako, Mi Simo.
 
hii taarifa imejichanganya, mara kaenda kwa ziara za kikazi, mara kaalikwa na cameroon! anyway, tafuten tu wateja wa ardhi ya watanganyika wasio na mtetez
 
Loh! Maskini Kikwete hajui kuwa HAKUNA URAFIKI KATI YA MASKINI NA TAJIRI.............
 
chonde chonde waingereza wawekeze kwa kila kitu ila SI USHOGA.
hatuna rasilimali za kufanya mashoga. taifa letu linahitaji nguvu kazi ya kutosha kwa maendeleo yetu
 
akuna lolote hapo chenga tu wamekwenda kusaini ushoga.
 
sisi shida yetu tupate katiba bora, hayo ya ziara tumeshayachoka!!
 
Umeng'niagochavez;9120183]lema mini kabaang, arusha watamfaidi kwa uhuru sasa[/QUOTE]
Wewe watu anaongelea m/kiti wako wachama wewe o
Umeng'ng'nia lema kaka wambie wakurundishie japo kidogo akili
 
TUESDAY, APRIL 01, 2014


THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
[TABLE="width: 637"]
[TR]
[TD]Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.compress@ikulu.go.tz
Fax: 255-22-2113425
[/TD]
[TD]
[/TD]
[TD]
PRESIDENT'S OFFICE,
THE STATE HOUSE,
P.O. BOX 9120,
DAR ES SALAAM.
Tanzania.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
TAARIFA KWA UMMA


Uingereza inajivunia kuwa nchi inayoongoza katika uwekezaji nchini Tanzania na itaendelea kuisaidia Tanzania katika jitihada zake za kiuchumi na kuleta maendeleo .

Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron amemuambia Rais Kikwete wakati wa mazungumzo yaliyofanyika 10 Downing Street, Leo tarehe 31 March, 14, ambapo ndipo yalipo Makao Makuu ya Waziri Mkuu wa Uingereza.

"Tunafurahia sana uhusiano wetu na kujivunia kuwa tunaongoza katika
Uwekezaji nchini Tanzania" Bw. Cameron amesema na kumhakikishia Rais Kikwete kuwa Uingereza iko tayari kutoa misaada zaidi.


Mwisho.

Imetolewa na;

Premi Kibanga.
Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi,
London Uingereza
31 Machi, 14

Maendeleo ya Tanzania yataletwa na Watanzania wenyewe, na tusijidannganye kuwa mataifa makubwa yatatusaidia, La hasha! Mataifa haya makubwa ya Uingereza Marekani na wenzake watakuja kwa ajili ya kutunyonya na sio kutuendeleza.- Mwalimu Nyerere
 
Nimekaa na kujiuliza kitu nimeshindwa kupata jibu nimekuja na jambo hili ambalo siitaj tulichangie kisiasa bali tuvae viatu vya wanauchumi na tulijadili.
Najiuliza kwanini serekali isiwatume wataalamu wake ambao pengne wana uwezo wa kuwaelekeza hao wawekezaji vizur kuliko kuwapeleka mawazir 7 na mkuu wa kaya ambapo ni gharama kubwa,au kwanin asingeenda membe ambaye ndiye wazir wa kimataifa na jopo la wataalamu toka wizara hizo 7 na ofisi moja ya mkuu wa mkoa? nakumbuka wakati obama akija huku alikuja na wataalamu wake tu na wale wawekezaji akubeba mawaziri?
Je hamna namna inayoweza kufanyika tukawatumia watanzania wenzetu kuwekeza kwenye hii miradi baada ya kuwatafuta wawekezaj wagen ambao wanapewa na misamaha ya kodi juu? Namtakia rais na jopo lake mafanikio katika mwaliko huo walio nao na natumain hata mikataba itakuwa ya waz hao wawekazaj wakipatikana kama ilivyo upigaj wa kura tuloanza kuujaribu hapa nchin
 
tunawalaani lema mini kabaang na genge lake, wote wanaopora wake za watu na wanaoenda kufanya zinaa dubai na wabunge wa viti maalumu
kiwetenaushoga.jpg
Tuanze na huyu aliyesaini mkataba wa ushoga jana...
 
Back
Top Bottom