Taarifa za uzinduzi wa kampeni za CHADEMA Igunga; Dr. Slaa aunguruma

Mafilili... thanks

Usiache kutujuza hata ile siku ya kutangaza matokeo mkuu, maana huwa mnakimbia nyinyi
 
Ndugu wana jamvi, huku Igunga hali ni tete kwa CDM, wamebaki kiutafuta watu vijiweni ili wajaze mkutano wao wa ufunguzi. Mgombea wao hana mvuto kwa wapiga kura, DR. Kafumu ushindani mdogo utatoka kwa mgombea wa CUF, lakini CDM mambo ni mazito, SERA zenu za kutamka POSHO hamtaki huku USIKU mkizichukua hazina tija kwa wapiga kura wa Igunga. Dr. Kafumu ni tunu kwa Igunga na kiashirio cha maendeleo ya IGUNGA.

Nipo hapa Igunga madukani muda huu, CDM kwisha kazi pamoja na matangazo ya magari juu ya ufunguzi wao leo, mwitikio ni mdogo sana! Poleni wana CDM Igunga na Arusha sehemu mbili tofauti, Huku Igunga hakuna vijana wa kuleta fujo ambao huwa wanajaza maandamano yenu na mikutano.

watu wa vijiweni kura zao haziesabiki au?
utaishia wagongwa wenzio ambao magamba yamewajaa na kuziba nyuso zao mapaka wanashindwa kuona!
 
Ndugu wana jamvi, huku Igunga hali ni tete kwa CDM, wamebaki kiutafuta watu vijiweni ili wajaze mkutano wao wa ufunguzi. Mgombea wao hana mvuto kwa wapiga kura, DR. Kafumu ushindani mdogo utatoka kwa mgombea wa CUF, lakini CDM mambo ni mazito, SERA zenu za kutamka POSHO hamtaki huku USIKU mkizichukua hazina tija kwa wapiga kura wa Igunga. Dr. Kafumu ni tunu kwa Igunga na kiashirio cha maendeleo ya IGUNGA.

Nipo hapa Igunga madukani muda huu, CDM kwisha kazi pamoja na matangazo ya magari juu ya ufunguzi wao leo, mwitikio ni mdogo sana! Poleni wana CDM Igunga na Arusha sehemu mbili tofauti, Huku Igunga hakuna vijana wa kuleta fujo ambao huwa wanajaza maandamano yenu na mikutano.

Milioni 35 za Nape at work
 
Asante kwa taarifa. Kama upo Igunga tunaomba ututumie picha za huko.

kwa jinsi wanavyopata shida hao magamba wataleta picha za wakati wa uchaguzi wa mwaka jana. si mmeona mgombea wao juzi alivyorudisha form? ilikuwa aibu tupu!
 
Nyomi lililokuweepo wakati wa kurudisha fomu za mgombea wa CDM, for sure CDM haiwezi kukosa watu wa kujaza mkutano wa ufunguzi, tafuta kingine cha kuongea acha uzushi
 
Kama mgombe wa magamba angekuwa anakubalika asingekubali kurudisha fomu kimyakimya maana wanamagamba wanapenda sana sifa...huu ni wakati wa CDM!
 
Nachokushangaa ni kitu kimoja tuuu!!!!!!!!!!!
Unachoandika na unachokiona pia unachokiamini mbona tofauti?
Muulize mwimba mipasho wenu kilichompata huko na kurudi ndani ya lisaa 1!
Ongea ukionacho pia mwelekeo halisi.
 
Ndugu wana jamvi, huku Igunga hali ni tete kwa CDM, wamebaki kiutafuta watu vijiweni ili wajaze mkutano wao wa ufunguzi. Mgombea wao hana mvuto kwa wapiga kura, DR. Kafumu ushindani mdogo utatoka kwa mgombea wa CUF, lakini CDM mambo ni mazito, SERA zenu za kutamka POSHO hamtaki huku USIKU mkizichukua hazina tija kwa wapiga kura wa Igunga. Dr. Kafumu ni tunu kwa Igunga na kiashirio cha maendeleo ya IGUNGA.

Nipo hapa Igunga madukani muda huu, CDM kwisha kazi pamoja na matangazo ya magari juu ya ufunguzi wao leo, mwitikio ni mdogo sana! Poleni wana CDM Igunga na Arusha sehemu mbili tofauti, Huku Igunga hakuna vijana wa kuleta fujo ambao huwa wanajaza maandamano yenu na mikutano.

time will tell....
 
Jamani mliopo kwenye uzinduzi wa kampeni za Chadema hapo Igunga mtujuze yanayoendelea hapo na msisahau na picha tunahamu kujua yanayojili huko kitengo cha habari cha Chadema muwe sharp basi jamani kutupa taarifa.

Leo nimeshangaa, sikujua kama CDM inapendwa hivi nimeudhuria ufunguzi wa kampeni za CDM hapa igungu zimefana watu kibao.

Dr slaa aeleza uchafu wa CCM na mbinu zake za kuchakachua matokeo wakishirikiana na CUF.

CDM ndio chaguo la wana Igunga nimeshuhudia kwa macho.

Nitawawekeeni picha muone muamininamkiri CDM ndio chama.

Post updated:
attachment.php
 
Huku hali si nzuri, CDM inaona aibu kuwajuza mlio mbali nje ya Igunga. Walifikiri mteremko, mpambano hapa ni CCM na CUF vyama vingine vimekuja kushiriki na si KUSHINDANA.
 
huku hali si nzuri, cdm inaona aibu kuwajuza mlio mbali nje ya igunga. Walifikiri mteremko, mpambano hapa ni ccm na cuf vyama vingine vimekuja kushiriki na si kushindana.
aaaa!!!unatapatapa we hapo uko igunga?hebu husiwadanganye wana jf.wana jf mtapata taarifa za picha
 
Huku hali si nzuri, CDM inaona aibu kuwajuza mlio mbali nje ya Igunga. Walifikiri mteremko, mpambano hapa ni CCM na CUF vyama vingine vimekuja kushiriki na si KUSHINDANA.

Maneno yako hayana uzito wowote kwani wewe unajulikana anti-Chadema. Tunasubiri info za ukweli kwa walioko Igunga.
 
aaaa!!!unatapatapa we hapo uko igunga?hebu husiwadanganye wana jf.wana jf mtapata taarifa za picha

Ok chakachua picha zionekane, tatizo lenu CDM ofisi rasmi mmeanza wiki hii, huko vijijini mtandao hakuna, hapa mjini Igunga, vijana wa KIBRUSHI ni wengi ambao ni CCM wakati vijana wa KICHAGA wapo wachache; Endelea kudanganya watz, wakati UHALISIA CDM hapa Igunga ni chama chenye mvuto mdogo. Hata bendera zenu zipo hapa maeneo ya barabara kuu, huku maeneo ya ndani kuliko na wakazi wengi ni CCM!!!!
 
<font size="4"><font color="#00ff00"><b>Hapa kuna fuso zimetoka Moshi na vijana ambao ni washiriki wa mkutano wa uzinduzli wa kampeni, wapiga kura za Igunga wamekaa nje ya mkutano. CDM aibu imewapata; wanaona aibu kupiga picha, wansubiri WACHAKACHUE HALAFU BAADAYE WAWATUMIE mlio nje ya Igunga</b></font></font><img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/msela.gif" border="0" alt="" title="Msela" smilieid="334" class="inlineimg" />
Tuwekee picha za hayo mafuso, na idadi ya watu mkutanoni..
 
Niko igunga lkn mpaka sasa hali ni mbaya kusema ukweli cdm hawana chao hapa, mpaka sasa maandalizi ya mkutano ni hafifu na uwanja hauna watu japokuwa umetangazwa tangu jana usiku kucha na leo cku nzima uwanja umejaa watoto wanaosikiliza mziki. Nadhani hapa mbowe hatakuja anaweza kuona aibu mie naondoka zangu.
 
Kitengo cha propaganda cha nape kiko kazini
 
Niko igunga lkn mpaka sasa hali ni mbaya kusema ukweli cdm hawana chao hapa, mpaka sasa maandalizi ya mkutano ni hafifu na uwanja hauna watu japokuwa umetangazwa tangu jana usiku kucha na leo cku nzima uwanja umejaa watoto wanaosikiliza mziki. Nadhani hapa mbowe hatakuja anaweza kuona aibu mie naondoka zangu.

UKWELI Ukizidi sana, CDM tutaanzisha vurugu, hapa Igunga ni pagumu, wanashindwa kuthamini mkutano wa kuhutubiwa na viongozi wa kitaifa???? Waitara ameshindwa kazi!! Hawa watu wa Igunga wanatuchora tu, bado dakika 30, vijana wa Kamanda Siro watuambie muda umeisha. Kwa ufupi CDM Igunga wameingia choo cha kike; habari yake kwisha
 
Wanachama CCM Igunga wanaendelea kusubiri kwa hamu kubwa ujio wa wasanii wa Bongo flavour kwenye kampeni za CCM. Wanahitaji muziki kwanza, voluntary they will come themselves to the campaign meetings. Mpango wa kuwabeba kwenye malori umewachosha na unahatarisha maisha yao!! Chonde chonde makada wa CCM tupeni uhakika basi kama Tip top connection, Diamond, TOT kama watakuwepo Igunga!!
 
Back
Top Bottom