Nilitaka kukopa saccos ni kama million 10, nilitakiwa kudiposite 20%(2m)ambazo zitarudishwa nikimaliza mkopo, then kunaghrama za mkopo,nikajikuta kimsingi nitapata 6m,nikakimbilia access bank
mkuu dark city,kama niko nje je na ninataka millioni 200,na sina kazi nategemea 'benefits' /social fund inakuwaje?
Ahsante sana imaney,
Mimi si mtaalamu wa mambo ya fedha ila nadhani kwa benk nyingi za Tanzania jambo kama hilo litakuwa gumu. Hata kwa wafanyakazi wa hapa nchini, ili benki ikupe mkopo lazima upate barua ya mwajiri na akubali kupitisha mshahara wako kwao ili wakate kilicho chao. Sasa kwa mtu ambaye yuko nje ya nchi, kwa kweli sina hakika itakuwaje.
Labda tuzidi kuwauliza wadau kama kuna mwenye taarifa zaidi...
TIB wanahitaji a good project proposal, mwenye format nzuri please can you pm me?
Hizo riba ndiyo zinasababisha mkopaji ashindwe kulipa mkopo na kupelekea majanga ya kuchukuliwa/kuuzwa kwa mali zake kama nyumba na mashamba na hivyo kusababisha migogoro katika familia nyingi hivi leo. Benki Kuu wasimamie hili jamani!!!!!!!!Babu ahsante kwa taarifa ila hizo riba..... Mmmh!