KORBOTO
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 1,837
- 2,427
Samahanini wana jf mimi nina vifaa vya salon ya kike nina kila kitu sasa nachohitaji ni bank gani inayoweza kunipatia mkopo wa laki 5 tu nataka nikodishe flem nifungue salon problem yangu ni kodi vifaa ninavyo na wateja ninao ni mzoefu wa kazi ya salon
Vip mkuu ushafanikiwa? Au tufanye kazi pamoja kama vip