Taarifa za mikopo midogo midogo ya kibiashara!

L-pesa.com Hao watakupa mkopo lazima uwe na kitambulisho cha kupigia kura...na barua ya utamburisho kutoka serikali za mitaa...kila kitu utakijaza kwenye mtandak na baada ya nusu saa utapata mkopo...kuanzia 2000 hadi milioni 10...karibu sana
 
tatizo mkuu sinaga kitambulisho cha mpiga kura kilipotea jee naweza kusajili kingine
 
L-pesa.com Hao watakupa mkopo lazima uwe na kitambulisho cha kupigia kura...na barua ya utamburisho kutoka serikali za mitaa...kila kitu utakijaza kwenye mtandak na baada ya nusu saa utapata mkopo...kuanzia 2000 hadi milioni 10...karibu sana
Nashindwa kutumia lpesa naomba nieleweshe.nimejiunga lakini nashindwa kopa
 
Kwa watakaohitaji mchanganuo wa mahesabu (Business plan) kwa ajili ya kupata mkopo benki tuwasiliane kwa namba hii 0772 977 330 au 0658 977 330.

Utapata mchanganuo wa uhakika ndani ya siku 7 mara baada ya kutoa data zote zitakazohitajika kutoka kwako.
 
L pesa sio utapeli kweli!
Mkuu muda huu nimeomba mkopo huo hapo angalia picha nasubiri wauthibitishe nitumiwe...hapo ni zaidi ya 147000
 
Attachments

  • Screenshot_20170505-174358.png
    Screenshot_20170505-174358.png
    28.9 KB · Views: 169
  • Screenshot_20170505-174412.png
    Screenshot_20170505-174412.png
    52.2 KB · Views: 168
  • Screenshot_20170505-174358.png
    Screenshot_20170505-174358.png
    28.9 KB · Views: 165
  • Screenshot_20170505-174412.png
    Screenshot_20170505-174412.png
    52.2 KB · Views: 160
Msaada
Kuna hii Sacco's inaenda kwa jina la FUCOS VICOBA kwenye mandao wa facebook na wanadai kuwa mmoja wa wamiliki wake no mh Ridhiwani Kikwete. Je hii saccos ni ya kweli au ni utapeli?
 
Matapeli
 
Back
Top Bottom