Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,450
- 100,756
- Thread starter
- #41
Nimeacha! Na Wewe acha ukweliAcha uongo mkuu!
Nimeacha! Na Wewe acha ukweliAcha uongo mkuu!
Kwa hiyo wawe wanaonyesha mgogoro wa cuf peke yake. Au wawe wanaonyesha huyo diwani wa chadema aliyekamatwa na bunduki na bangi?Radha ya taarifa za habar hazipo sasa, tv stesheni zote nikama zimekodiwa na maccm
Nilifikiri niko peke yangu. Yaani mimi ikiisha Isidingo ITV naendelea na mambo mengine naachana na TVWallah nina kama mwezi wa saba sijangalia taarifa ya habari muda ambao unasomwa mie niko bize na tamthilia pendwa za kimexico au philips