Taarifa za Habari zimekosa Watazamaji!!!

Tunakuwa hatuna uhakika litatoka tamko gani, unaweza kusikia marufuku kunywa bia zaidi ya 3, hapo ndiyo nitajua wanataka ugomvi na mimi
 
November 2015 ilikua taarifa ya habari ikianza kama mko Bar mziki unazimwa watu wote hata wale walevi wanakimbiia kwenye TV, sasa hivi labda iwe taarifa ya ajali.... kumetokea nini????
Wallah nina kama mwezi wa saba sijangalia taarifa ya habari muda ambao unasomwa mie niko bize na tamthilia pendwa za kimexico au philips
 
Unadanganya mkuu, bado kila bar taarifa ya habari ni muhimu, mziki unawashwa tena zikianza habari za kimataifa! Unapotosha!
 
Tumechoka maigizo. Kila waziri anatembea na kundi la waandishi wa habari ili aonekane anafanya kazi. Raisi nae bila "kumtumbua" mtu live haoni raha, wakuu wa mikoa ndio balaa kwa kutafuta sifa. Taarifa ya habari zimejaa propaganda za serekali tu.
 
Unadanganya mkuu, bado kila bar taarifa ya habari ni muhimu, mziki unawashwa tena zikianza habari za kimataifa! Unapotosha!
Nilichomwelewa mleta mada, watazamaji wamepungua, sio kwamba hawapo.
Wailiki wa hizo bar wanaweza kuwasha lkn watazamaji wakawa wachache.
Mi natumia mitandao ya kijamii na baadhi ya radio stations kupata habari, sio taarifa za habari za kwenye TV
 
Hakumaanisha wewe unachokisema! Huyu mtu ni mwongo!
 
vituo vingine kila siku mambo ya wakulima na wafugaji,afadhari kidogo azam wanajitahidi kunibakisha kuangalia habari
 
November 2015 ilikua taarifa ya habari ikianza kama mko Bar mziki unazimwa watu wote hata wale walevi wanakimbiia kwenye TV, sasa hivi labda iwe taarifa ya ajali.... kumetokea nini????
Hata mada zako zimekosa wachangiaji, kumetokea nini?
 
November 2015 ilikua taarifa ya habari ikianza kama mko Bar mziki unazimwa watu wote hata wale walevi wanakimbiia kwenye TV, sasa hivi labda iwe taarifa ya ajali.... kumetokea nini????
Taarifa za habari siku hizi zimekuwa marudio kwani taarifa nyingi watu wanazizoa kwenye mitandao ya kijamii
 
Tunakuwa hatuna uhakika litatoka tamko gani, unaweza kusikia marufuku kunywa bia zaidi ya 3, hapo ndiyo nitajua wanataka ugomvi na mimi
Hahahahahahahaaaaa ITV Leo wameiweka taarifa yake kama ya tano au ya sita hivi
 
Wallah nina kama mwezi wa saba sijangalia taarifa ya habari muda ambao unasomwa mie niko bize na tamthilia pendwa za kimexico au philips
Heri yako, naangalia taarifa kwa nguvu kwakua tu Niko na Mkwe wangu hapa
 
Back
Top Bottom