mdetichia
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 5,292
- 2,172
HahahahaaaHeri yako, naangalia taarifa kwa nguvu kwakua tu Niko na Mkwe wangu hapa
HahahahaaaHeri yako, naangalia taarifa kwa nguvu kwakua tu Niko na Mkwe wangu hapa
Tumechoka maigizo. Kila waziri anatembea na kundi la waandishi wa habari ili aonekane anafanya kazi. Raisi nae bila "kumtumbua" mtu live haoni raha, wakuu wa mikoa ndio balaa kwa kutafuta sifa. Taarifa ya habari zimejaa propaganda za serekali tu.
Hata mada zako zimekosa wachangiaji, kumetokea nini?
Mpwa sidhani kama ni lazima tukubaliane kwa kila jambo. Sihitaji kupotosha ila soma basi hata comment za wengineUnadanganya mkuu, bado kila bar taarifa ya habari ni muhimu, mziki unawashwa tena zikianza habari za kimataifa! Unapotosha!
View attachment 418115View attachment 418116 Hahahahhaahhaa kazi ipo
Nimechangia ili kuongeza idadi. Una swali lingine?We umefanya nini hapa!
Amen, barikiwa sana! stroke ameshahitimisha kuwa ninapotosha!!Nilichomwelewa mleta mada, watazamaji wamepungua, sio kwamba hawapo.
Wailiki wa hizo bar wanaweza kuwasha lkn watazamaji wakawa wachache.
Mi natumia mitandao ya kijamii na baadhi ya radio stations kupata habari, sio taarifa za habari za kwenye TV
Kama Mimi ni muongo basi Wewe ni mkweli. Haina shidaHakumaanisha wewe unachokisema! Huyu mtu ni mwongo!
anaanzaje kuweka limit ya gambe, atapasuka kweli [emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481]
Magonjwa mtambuka!!!!!!Nimechangia ili kuongeza idadi. Una swali lingine?
Kweli kumbe kila Watanzania wanne mmoja ni kichaa! Tujadili hoja sio mambo ya ChademaMichadema haina inshu ndio maana tangu ukuta uanguke hakunaga kitu hata wenyewe hajielewi kwa sasa wanashughulikia kesi kama mtikila wa zamani wakijakuamka usiku umekwisha. Hasa nyie mnaofuata mkumbo mtazimia siku si zenu polenj kukosa TV ya kutizama zungusheni mikono mtaonekana
Naona akili Iko chadema tu, mada Yangu haijataja chama chochote. Nazungumzia taarifa za habari kupungukiwa na Watazamaji, tatizo nini? Wewe unasema Chadema! Duh basi safari IPO ndefuChadema kila mtu analalamika.Ruzuku milioni 600,si muanzishe Tv yenu,mkawa mnazungurusha mikono kutwa nzima
Kwa hiyo?Magonjwa mtambuka!!!!!!
Acha uongo mkuu!Kama Mimi ni muongo basi Wewe ni mkweli. Haina shida