Taarifa za Chama toka NAPE kuhusu Mlipuko: KAULI ya KIKWETE hukusu shambulizi la BOMU Arusha

Inaumiza sana kichwa kumuona kijana anayeonekana mwenye afya njema ya mwili lakini akili yake kuonekana haiko sawa. Tuache siasa katika masuala ya hatari kama haya. Jamani jirudini maana kama mchangiaji mmoja hapa alivyosema Nape unalo jukwaa na kuzungunza na una cheo ulicho nacho kwa sababu uko Tanzania yenye amani!

Lakini tuendako kama hatutajirudi hasa watawala wetu wasipojirudi vyeo hivi na midomo yenu itatoa harufu mbaya muda wote maana hamtakuwa na majukwaa ya kuzungumzia maana mtakuwa wakimbizi ukimbizini wakati watanzania tulio wengi tutakuwa tumeteketea...,

Tuache siasa tukemee kwa nguvu zote ugaidi huu. Na serikali kama inasema ni CHADEMA wamejilipua, sawa lakini waliokufa ni watanzania na serikali yoyote duniani ina jukumu la kulinda raia wake, basi kamateni hao chadema kwa ushaidi uliopo na si wa mh. Mwigulu Nchemba bingwa wa kutengeneza filamu za ushahidi wa popote hata mbinguni. Inakera sana jamani.
 
Ogopa kukutana na mnyapara bora ukutane na mkoloni mwenyewe. Utagundua nape ni masalia ya manyapara wa kikolni.

Napongeza kauli ya jk inajenga utaifa ya moyoni mwake anajua mungu wake! Nape umepewa nafasi ya kuwakilisha na kuwasemea vijana wa tanzania kupitia chama chako, ondoka kwenye box la chama , fikiri zaidi ya ccm, fikiri zaidi ya cheo chako, fikiri zaidi ya ushindi wa udiwani, fikiri juu ya tanzania, fikiri juu ya africa mashariki, fikiri juu ya afrika , fikiri juu ustawi wa dunia. Just think big nape, unafasiya kuwa kiongozi mzuri sana, rudi nyuma kabla ya 2010 ulikuwatumaini la vijana. Tafakari kabla ya kuongea.
 
Mkuu Nguruvi3, ikisoma historia na utagundua kuwa watesaji wakubwa wa watumwa walikuwa manyapara wa africa wenzao, nape na lukuvi ni masalia ya wanyapara. Cheo alichopewa kinamzuzua kama manyapara wa kikoloni.
 
Wale mnaosema huu ni wakati wa vijana naomba mfikirie tena.

Kauli za Nape si za kiungwanahata kidogo. Huu ni msiba mkubwa kwa taifa.
Sidhani kuna mtoto anaajua siasa ni nini. Na hata kama anajua kuna ubaya gani yeye kushiriki shughuli za kisiasa kama mtu anayejifunza?

Leo Nape anatumia damu za watoto hao na raia wengine wasio na hatia kutangaza habari za siasa.
Lile bomu lingeangukia na kuua viongozi wa CDM sijui kama angesema limepangwa.

Nape labda tukukmbushe haya
1. Mwakyembe kutaka kuuawa na kutaja hadi wahusika tukio lile lilipangwa na nani?
2. Mengi na mtoto wake kuwekewa mtego, tukio lile lilipangwa na nani?
3. Ulimboa kung'olewa kucha na meno tukio hilo lilipangwa na nani?
4. Mwangosi kutolewa roho, tukio hio lilipangwa na nani?
5. Kibanda kung'olewa meno na jicho, tukio hilo limepangwa na nani?
6. Mbwambo kuchinjwa kwa msumeno kule Tengeru, tukio hilo lilipangwa na nani?
7. Kule Igunga mtu kutoweka, tukiolilipangwa na nani?

Orodha ni ndefu na katika matukio yote hayo hakuna majibu hadi sasa.
Si chama au serikali ya chama chako imewahi kutolea majibu. Majibu ni upepo utapita.

Nape wewe unaishi Tanzania, na nyadhifa zako pamoja na maisha yako ni kwasababu upo Tanzania .
Yakitokea yasiyotarajiwa na yasiyo ombewa si wewe si mimi au yule atakayekuwa salama.
Hakuna shujaa kati kati ya vita na vurugu

Nakusihi sana mdogo wangu iangalie Tanzania kwanza halafu ndipo uangalie mambo mengine.
Unaandika kwa jeuri na dharau kwasababu upo ndani ya Tanzania iliyotulia na inayolekea kuchafuka.


Kwanini kijana wa umri wako unafikia mahali pa kujisahau namna hiyo?
Kama Nyerere alisema CCM si mama yake, wewe ni nani nakwa uwezo upi unadhani CCM ni bora kuliko roho za Watanzania wasio na hatia.

Hivi wanajamvi, hawa ndio vijana tunaowapigia debe waliongoze taifa kweli!
Kama Nape kasema hivi nani kabaki na kabaki na busara ipi?

Nape, ubinadamu ni bora kuliko bendera za chama. Utangulize ubindamu na usilewe na dunia hii.

Leo unaona roho za watu na damu zao ni nyepesi kwasababu una rungu, umesahau kuwa unaishi ndani ya nyumba ya glass.

Mungu akusadie uone kile uischokiona sasa hivi, na heri ya kukaa kimya ili watu wawe na shaka nawe kuliko kuongea na kuwatoa mashaka waliyokuwa nayo juu yako.
Bado ni mdogo Nape, tuulize tumeyaona mengi, tumewaona wafalme wakipaa na kuanguka.

Hapo kwenye red! sikio la kufa halisikii dawa! kukaa kimya haimanishi kwamba hujui, inawezekana unajua tena sana, lakini kupayuka huonyesha upo mweupe kiasi gani hata kwa yale wachache walifikiri unayajua.

Tumwombee aweze kutofautisha utu wa mtu na vitu.
 
Ukichukua statement ya Rais ulinganishe na matamshi ya Nape utaelewa Nape anafikiria kutumia nini baada ya kuacha kutumia ubongo. Mulizeni anajua aliyowaambia watu wa Arusha kata ya kimandolu kuwa watakufa wasipoichagua CCM
 
Bado rais kama rais ana la kufanya, kuota pole haitoshi maana unafiki pia ni sifa inayo julikana. kama unaweza kujichekesha kwenye misiba kutamka siyo shida, swala la msingi ni kuhakikisha hao watu wanapatikana haya mambo ya propaganda mara wamejilipua wenyewe haitoshi. na si hilo tu ili kweri rais aoneshe anania thabiti ya kukomesha haya matendo machafu aanze na viporo kibao kuanzi kwa Ulimboka...Lakini ukitaka kujua rais anatuona sisi ni mabwege juzi juzi kampandisha cheo kamuhanda badala ya kumfuta kazi sasa huyu kweli ana huruma na watanzania kama siyo unafiki. lakini kinacho nifurahisha zaidi ya yote ni jinsi chama kinacho jifia chenyewe
 
Watu wanakufa katika shughuli za kisiasa halafu yeye anasema haamini kama tumefikia hatua hiyo. Huyu naye ni tatizo. Polisi wameua watu watatu wakati wa maandamano ya CHADEMA Arusha, wameua Iringa, wameua Morogoro kote huko ni wakati wa shughuli za kisiasa. Sasa anaposema haamini lazima atakuwa na tatizo. Wanaotekeleza mauaji ndio wanaagizwa eti kuwasaka wahusika!
 
Inaumiza sana kichwa kumuona kijana anayeonekana mwenye afya njema ya mwili lakini akili yake kuonekana haiko sawa. Tuache siasa katika masuala ya hatari kama haya. Jamani jirudini maana kama mchangiaji mmoja hapa alivyosema Nape unalo jukwaa na kuzungunza na una cheo ulicho nacho kwa sababu uko Tanzania yenye amani!

Lakini tuendako kama hatutajirudi hasa watawala wetu wasipojirudi vyeo hivi na midomo yenu itatoa harufu mbaya muda wote maana hamtakuwa na majukwaa ya kuzungumzia maana mtakuwa wakimbizi ukimbizini wakati watanzania tulio wengi tutakuwa tumeteketea...,

Tuache siasa tukemee kwa nguvu zote ugaidi huu. Na serikali kama inasema ni CHADEMA wamejilipua, sawa lakini waliokufa ni watanzania na serikali yoyote duniani ina jukumu la kulinda raia wake, basi kamateni hao chadema kwa ushaidi uliopo na si wa mh. Mwigulu Nchemba bingwa wa kutengeneza filamu za ushahidi wa popote hata mbinguni. Inakera sana jamani.

Mkuu ule ni mwili wa ulafi tu kichwani hakuna kitu - Zezeta!
 
Mkuu Nguruvi yote uliyosema anayajua lakini hali ni tete sasa wafanyaje?
 
Chadema mnatafuta public sympathy

Are you out of you living MIND??? CHADEMA walipigwa BOMU sasa wanataka SYMPATHY??? Oh, Ndio Maana hadi lieo hawajashikwa waliopiga bomu KANISA LA KATOLIKI ARUSHA kwasababu WAKATOLIKI wanataka SYMPATHY; Kwa Kushambuliwa kwa Mwanachama wa DINI YAO???

Wewe kweli kama Ukibaki kufikirika na kufirika haya UTABAKI kuwa wa KALE...
 
nngu007
Ni kibaya kipi alichosema Nape Nnauye? nyie hamtaki kuelezwa ukweli lakini huo ndio ukweli wenyewe!

chama
It is a SUMMER Break Mbona Unajificha? Umekubali Alichokisema NAPE NNAUYE ni kibaya.... Sasa VIPI tena na wewe kusema NYIE hamtaki kuelezwa Ukweli lakini hu ndio ukweli wenyewe!!! UPI HUO NDIO UKWELI WENYEWE??

Hapo ametuma RAMBIRAMBI au Anaendelea kusumuza visu ndani ya Mioyo ya walioathirika???

Alivyosema Nape analo jukwaa na kuzungunza na ana cheo kikubwa alicho nacho kwa sababu yuko Tanzania nchi ya AMANI!!!



Lakini tuendako kama hatutajirudi hasa watawala wetu yaani CHAMA TAWALA na SERIKALI YAKE wasipojirudi vyeo vyao na kuongelea HEKIMA na FIKRA BORA kama Jinsi RAIS KIKWETE alivyotuma SALAMU zake na midomo yenu itatoa harufu mbaya... Hiyo HARUFU MBAYA hakuna takayeivumilia zaidi ya kwenda BARABARANI na MITAANI na kutaka KURUDISHA UMWAMBA... ndio MWISHO wa AMANI...
 
Waalimu wote mliotumia muda wenu kumfundisha Nape alipokuwa shuleni, poleni sana kwa kuwa kichwa chake ni kigumu sana kuelewa mambo kirahisi.
 
Bora wangemuacha babake january kwenye hicho kiti cha Neepii...mtoto anapayuka si mchezo. Kama s.h.o.ga hata haya hana.
 
Nchi imefikia pabaya kifo hakina ushabiki ni simazi,ni vizuri kutotamka kitu kuliko kupayuka bila sababu.Unaongeza mafuta katika tanuru la moto.Hivi Bw Nape umegeuka kachero zaidi ya FBI na Scotland Yard?Fungua ofisi ujaribu fani mpya!
 
Jana Waziri Mstaafu Fred Sumayi alimshushua pia! Alikuwa akihoji iweje kuwazuia watu wasijitokeze kutoa yaliyo moyoni kuhusiana na utayari wao wa kugombea uraisi wa Nchi hii? Akasema JK aliwahi kusema ni ruksa kufanya hivyo ilmradi anayefanya hivyo asikivuruge chama na amani ya taifa lakini Nape kwa wakati wake akatoa agizo kwamba ni marufuku kwa mwanaCCM kujipitisha pitisha kuhusiana na uraisi! Huyu ni Nape! Anatofautiana na kila mtu, lakini CCM mbona inamlinda hivyo?
 
Back
Top Bottom