Taarifa za Chama toka NAPE kuhusu Mlipuko: KAULI ya KIKWETE hukusu shambulizi la BOMU Arusha

Mbona alishatoa pole pamoja na kuagiza wanausalama wafanye kazi yao. Pia tulimsikia Mh. Lukuvi pale BUNGENI akiongea kwa niaba ya SERIKALI. Rais ni taasisi na siyo Mh. JK tu. Ndiyo maana hawa watendaji wengine wakiharibu, then huwa wanamchafua hadi Mh. Rais.
Mkuu, hawa chadema wanadhani serikali ya ccm ni ya kihuni kama wanavyofanya wao. Kila mtu anatoa tamko. Hawajui kuwa Rais anaagiza na si kutoa matamko. Tamko amtolee nani wakati yeye ndo top
 
uamuzi mgumu ni huo unapoendelea kuchukuliwa na jeshi la polisi arusha kuwadhibiti wafanya vurugu
 
lukuvi ameongea, nchimbi ameongea, pinda ameongea jeshi la polisi liko kazini, bado unamtaka tu kikwete au una lingine mkuu
Wakumbushe tu kuwa na yeye kikwete pia ameongea. Wanataka aongee nini? Waache jeshi la polisi liwasake akina mbowe na lema, wakamatwe na wafikishwe kwenye vyombo vya sheria
 
Kwahiyo siku hizi siyo dhaifu tena? Na mnamtambua kama rais? Wanasiasa kwa unafiki nyie!
 
huna adabu. unamuita muheshimiwa rais kama vile unamuita mjomba yako!? unamuamrisha kama nani? kauli ya serikali bungeni hukuisikia. hujui kuwa polisi wamemuomba mbowe awasilishe ushahidi aliyosema anao. tuondolee mawazo muflisi hapa! kayapeleke kijiweni

kwani si jina lake? Unataka nimwite Jk,kafie mbali huko,mbona kuna watu wanaitwa rais? Tena ilibidi unipe hongera kwani ningesema rais bila kutaja jina lake haina maana,kuna marais wa ngapi? Kuna rais wa shirikisho la soka,rais wa shule/chuo, ulitaka nitaje rais yupi? Eti kama unamwita mjomba wako,kwa hiyo wew mjomba wako huwa unamwiita mh.mjomba! Tofautisha status na majina yanayotokana na ukoo. Mshamba wa wapi wew,au wa magamba
 
kwani si jina lake? Unataka nimwite Jk,kafie mbali huko,mbona kuna watu wanaitwa rais? Tena ilibidi unipe hongera kwani ningesema rais bila kutaja jina lake haina maana,kuna marais wa ngapi? Kuna rais wa shirikisho la soka,rais wa shule/chuo, ulitaka nitaje rais yupi? Eti kama unamwita mjomba wako,kwa hiyo wew mjomba wako huwa unamwiita mh.mjomba! Tofautisha status na majina yanayotokana na ukoo. Mshamba wa wapi wew,au wa magamba

nilidhani naongea na timamu kume ni punguani! ubishi kama huo na hoja muflisi kama hizo kazipeleke vijiweni
 
Watanzania mie nabaki kushangaa tu .Nimeona penye wengi neno halikosi nimeamua kuuliza .Wewe unaliona hili jambo ? Mauaji ya wakatoliki Olasiti tena akiwepo Balozi wa Vatican sina hakika kama JK hata alikanyaga Arusha na Pengo alitumia busara na kuwatuliza watu anao waongoza .

Mauaji ya juzi JK kaongea na kuendelea kuwepo UK as nothing did happen huko Arusha kwa maneno mepesi sana na hata sasa hakuna suspect ila tuna aaminishwa kuna suspect sawa tukio la mauaji ya Zanzibar ya Padre na Ulimboka na sinema ya Kenya .

Ila sasa Ngwea alipokufa nadhani sina hakika JK alihurudhuria tena kwa mtanzania anaye semekana alikufa kwa madawa ya hatari , na walipo gusa maslahi ya wakubwa huko Mtwara Rais wetu alisema maneno makali na hata kusema kama wana pembe watakatwa .

Arusha wamerusha mabomu na risasi kutumika lakini mkuu wangu wa Nchi kasema tu na hajafika eneo la tukio tena kwa tukio kubwa mno katika Nchi ya amani na utulivu .Wewe unasemaje ? Unalionaje hili ?
 
Back
Top Bottom